TAMISEMI wanatoa lini majina ya uhamisho?

Nadhani upo mkakati wa wao kuwahamisha wenyewe bila kutuma maombi.

Mkakati huu utawahusu zaidi wale waliolundikana ktk shule moja na kuwa na vipindi vichache kwa wiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…