ngoja tuone, naimani kashapokea list ya taasisi 145.Hivi leo raisi kapewa list au lilikua tamko tu?
hajapewa zilikuwa swaga tuHivi leo raisi kapewa list au lilikua tamko tu?
Ha ha ha ni mwendo wa matamkohajapewa zilikuwa swaga tu
Najuuuuuuta.....Hivi leo raisi kapewa list au lilikua tamko tu?
Sio zipo shule, kuna masomo yana vipindi viwili sasa kama history au civics yatafundishwa kila siku???Maana zipo shule watu wanavindi viwili kwa wiki