Sasa nyie vijana mnahangaika kuwapa taarifa hao wanaosema wanamajina,hata mkijua mmepangwa wapi na serikal haijatangaza mtaenda kuripot makaburini????walim mnachezewa akili kama watoto wa nasari bhana,,,,yaan umemaliza shahada tangu nov mwaka jana unakaa tu bila kazi,mwalim wa degree,tena ukisomea degree husomei ualim tu kuna mambo meeengi,,,,,,subirin serikal itangaze hapa nawaona mnahangaika,polen sana aisee