Tamisemi na UHAMISHO tukutane hapa!

Tamisemi na UHAMISHO tukutane hapa!

Asee mi natafuta wa kubadilishana nae wa mwanza mjini, mi niko musoma manisaa
 
Fanyeni kazi acheni kufikiri upuuzi wa kuhama allah! Tena kama hamtaki acheni ila ahami mtu mwaka huu.
 
Jamani hakuna updates zozote kuhusu kutoka majina ya uhamisho?
 
Back
Top Bottom