13 elfu.Bila kutaja idadi ya walimu wanaohitajika taarifa haijakamilika
Ha ha ha! chagua Rungwe kwa maendeleoTAKUKURU Ilala imemuonya Hashim Rungwe, mgombea Urais (CHAUMMA) kuwa kugawa chakula (ubwabwa) kwenye kampeni ni rushwa na ni kosa kisheria, Rungwe amesema atatumia ubwabwa kama Vyama vingine wanavyotumia Wasanii na amewataka wajiandae kupelekana Mahakamani.
#MillardAyoUPDATES.
kwa idadi hiyo hata wasipotaja vigezo siyo mbaya, lazima watagusa kila idara hapo13 elfu.
Hakuna ajira.Wizara ya Tamisemi imetoa taarifa kuwa kuanzia jumatatu ya tarehe 7 wahitimu wa fani ya ualimu waanze kuomba kazi.
Kulingana na idadi ya wahitimu inayohitajika ni dhahiri wengi watakuwa walimu wa masomo ya sayansi na wale wa shule za msingi.
Kuliko kuwasumbua vijana wote kuhangaika kutuma maombi na kutumia gharama kubwa, ni wakati sasa serikali iweke walimu na masomo yanayohitajika ili wale wasio husika wasisumbuke bure kutumia gharama kutuma maombi kumbe hawapo kwenye mpango wa kuajiriwa na serikali.
Itakuwa dhambi kubwa sana kuwaacha vijana kutuma maombi wakati serikali haina uhitaji wa masomo fulani.
Hiyo idadi ni ndogo almost ni kama wahitimu wa vyuo viwili tu upande wa education kwa mwakakwa idadi hiyo hata wasipotaja vigezo siyo mbaya, lazima watagusa kila idara hapo
Mzee ana falsafa kama za MugabeTAKUKURU Ilala imemuonya Hashim Rungwe, mgombea Urais (CHAUMMA) kuwa kugawa chakula (ubwabwa) kwenye kampeni ni rushwa na ni kosa kisheria, Rungwe amesema atatumia ubwabwa kama Vyama vingine wanavyotumia Wasanii na amewataka wajiandae kupelekana Mahakamani.
#MillardAyoUPDATES.
hawawezi kuajiri wote, ila kugusa walimu wa science na art wanawezaHiyo idadi ni ndogo almost ni kama wahitimu wa vyuo viwili tu upande wa education kwa mwaka
Umeshaanza kujishuku??Wizara ya Tamisemi imetoa taarifa kuwa kuanzia jumatatu ya tarehe 7 wahitimu wa fani ya ualimu waanze kuomba kazi.
Kulingana na idadi ya wahitimu inayohitajika ni dhahiri wengi watakuwa walimu wa masomo ya sayansi na wale wa shule za msingi.
Kuliko kuwasumbua vijana wote kuhangaika kutuma maombi na kutumia gharama kubwa, ni wakati sasa serikali iweke walimu na masomo yanayohitajika ili wale wasio husika wasisumbuke bure kutumia gharama kutuma maombi kumbe hawapo kwenye mpango wa kuajiriwa na serikali.
Itakuwa dhambi kubwa sana kuwaacha vijana kutuma maombi wakati serikali haina uhitaji wa masomo fulani.
HUU NI MWAKA WA UCHAGUZI WEWE OMBA TU. INAITWA FUNGULIA MBWA.
HATA KAMA ULIMALIZA 2009 NA UNA gpa ya 2.1 UNAPATA KAZI.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Tafuta mtu wizarani mpe chochote bila ya hivyo hii ajira kupata ni ngumu. Wanaotakiwa elfu 13 kati ya laki 2 waliomtaaniWizara ya Tamisemi imetoa taarifa kuwa kuanzia jumatatu ya tarehe 7 wahitimu wa fani ya ualimu waanze kuomba kazi.
Kulingana na idadi ya wahitimu inayohitajika ni dhahiri wengi watakuwa walimu wa masomo ya sayansi na wale wa shule za msingi.
Kuliko kuwasumbua vijana wote kuhangaika kutuma maombi na kutumia gharama kubwa, ni wakati sasa serikali iweke walimu na masomo yanayohitajika ili wale wasio husika wasisumbuke bure kutumia gharama kutuma maombi kumbe hawapo kwenye mpango wa kuajiriwa na serikali.
Itakuwa dhambi kubwa sana kuwaacha vijana kutuma maombi wakati serikali haina uhitaji wa masomo fulani.
Kwani ni wizara ya elimu inayofanya interview za kazi?Tafuta mtu wizarani mpe chochote bila ya hivyo hii ajira kupata ni ngumu. Wanaotakiwa elfu 13 kati ya laki 2 waliomtaani
Si kweli!Hiyo idadi ni ndogo almost ni kama wahitimu wa vyuo viwili tu upande wa education kwa mwaka
Ukweli ni upiSi kweli!
Ni zaidi hivo vyuo.Ukweli ni upi