Ni moja ya mawaziri wako smart sana kichwani ,kuanzia decision mpaka Social life, kwa muda mrefu nmemfuatilia huyu bwana kazi zake ama kwa hakika namuona mbali sana , Tamisemi imekuwa bora sana chini ya huyu bwana.
Weka like kama unamkubali.

Naunga mkono kabisa .kwa hakika Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ni kiongozi mchapa kazi sana na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu. Nilishasema kuwa atafika mbali sana maana kila mtu anajionea namna anavyofanya kazi . Karibu kuangalia katika ziara anayoendelea nayo huko Morogoro ambapo anatumia hadi usafiri wa bodaboda katika kuhakikisha kuwa anamfikia kila mwananchi na kufika kila sehemu.
Hivi nani huwa analipa mapunjo ya mishahara, ninamadai ya miaka nenda rudi, ulienda ofisi za utumishi halmashauri unaoneshwa kuwa yapo kwenye mfumo, subiri kulipwa sasa ndiyo ngoma. Mwanzoni mwa mwaka huu nikalipwa mapunjo ya hivi karibuni ya nyuma akaachwa! Hawa ni Tamisemi au watu gani ambao hawataki kulipa mapunjo yangu.