TAMISEMI acheni kiburi

Tunashughulikia suala lako. Nchi ina halmashaur 168. Matatizo ni mengi
 
Kuna mmoja kasepa Jana na ametumia mwezi mmoja tu....
Na ndo maana yanajivuta ili yaendelee kula hela,namchukia huyu mchengerwa yaani nikionana naye live nakiwasha
 
Tamisemi ni jipu
Alafu samia si huwa anaingia humu?kwa nini asimwambie huyu kiburi wake ayambie yale mazee yatoe majina,yanashinda pale mtumba yamekaa wakati ya rushwa yanatoa,
 
Katika Wizara inaendesha mambo yake Ovyo basi ni Tamisemi...Uko ni zaidi ya Jehanam kila kitu kipo ovyo ovyo hadi unajiuliza huyo waziri anafanya nini.
 
Acha mikwara
mchengerwa utakutana nae wapi mkuu ?
Kama tu uhamisho wa kubadilishana unakuliza hivi ?
Nitakutana naye tu kuna ziara naisikilizia,huo huo uhamisho utamfanya ajutie nafasi yake.
 
Katika Wizara inaendesha mambo yake Ovyo basi ni Tamisemi...Uko ni zaidi ya Jehanam kila kitu kipo ovyo ovyo hadi unajiuliza huyo waziri anafanya nini.
Waziri mtoto pendwa akivurunda hapa anahamishiwa kwingine
 
Tamisemi inaajiri wazee wa miaka 38 halafu inawapangia vituo ambavyo hawakuomba, matokeo yake wakipata cheki wanahama ili kuungana na familia au biashara zao
Fuatilia vizur idadi kubwa ya wanataka kuhama ni kuanzia miaka 35 kushuka chini btw miaka 38 sio Mzee
 
Njoo inbox tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…