Wana jeuri tu wamekaa pale mtumba,eti wameweka customer care nao hawaelewi chochote,yaani hii nchi sijui ikoje yaani hamna mtu anakaa ofisini na kustuka kila mtu anafanya anachojisikiaNi kweli haiingii AKILINI,uhamisho mwaka mzima ilihali mtu anajihamisha kwa gharama zake mwenyewe + maboresho ya mifumo ya kimitandao..hakika TAMISEMI ni JANGA
Alafu ni uhamisho wa kubadilishana,lakini pamoja na hayo kuna barua zinakuja kimyakimya watu wanasepaNi kweli haiingii AKILINI,uhamisho mwaka mzima ilihali mtu anajihamisha kwa gharama zake mwenyewe + maboresho ya mifumo ya kimitandao..hakika TAMISEMI ni JANGA
Yaani sasa hivi watu wanaishi vile wanajisikia,ufafanuzi hakuna yaani ni kiburi juu ya kiburi.Katika jipu hili nalo nijipu limeiva haiwezekani serikali Ina anzisha vitu vingi halafu utekelezaji ni hovyo kulikuwa na haja gani ya kuanzisha mfumo kama watendaji hawa wajibiki maombi ya uhamisho yapo Kwa ma Ded n ma Deo kibao hayapitishwi almost miezi 5 ukija huko juu pia watu wamekamilisha uhamisho ila utaratibu wa kutoa majina au tamko Nini kina Kwa misha. Mnapo kosa chain ya mawasiliano na utendaji kama mhimili mkubwa Katika ngazi ya serikali za mitaa tunapata wasi wasi hata huko juu Kuna madudu kibao na uozo wa kiutendaji
Sio tamisemi tu,hata serikali kuu madudu hayohayo,wengine tunamwaka na nusu tuliomba uhamisho hamna majibuBado niko na nyie TAMISEMI nani anawatia kiburi cha uzima? mmefungua page mitandaoni ila hamna mtu mnaweza kumjibu, mmeweka huduma kwa wateja ila wahudumu mmewaweka kama pambo hawaelewi chochote je hii ina maana gani?
Mchengerwa wewe kwa kuwa umeteuliwa hutaki kujichosha maana cheo kipo tu hata ukiendelea kulala,umekuwa na kiburi sio poa?
Kingine tumeomba uhamisho wa kubadilishana imeshindikana je inabidi tuombeni upya tena kupitia mfumo, ebu tutoleeni ufafanuzi ili tujue moja. Haiwezekani maombi yaliyokwisha kufika TAMISEMI yachakatwe kwa mwaka mzima, hizi ni dharau za wazi mnatupuuza kwa kuwa hatuna impact yoyote siyo?
Kama TAMISEMI mna page hapa JamiiForum naombeni ufafanuzi.
Mzee wa miaka 38 anafananaje Mkuu!!Tamisemi inaajiri wazee wa miaka 38 halafu inawapangia vituo ambavyo hawakuomba, matokeo yake wakipata cheki wanahama ili kuungana na familia au biashara zao
Kuna mmoja kasepa Jana na ametumia mwezi mmoja tu....Alafu ni uhamisho wa kubadilishana,lakini pamoja na hayo kuna barua zinakuja kimyakimya watu wanasepa