CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,074 Sep 4, 2014 #41 kirahisi hivyo?!!
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Sep 4, 2014 #42 Msimpuuzie mleta mada, ujue kuna watu wengi sana bado kiza na rahisi sana kutapeliwa na hii yote sababu ya tamaa. Bora waendelee kuamshwa mbinu tofauti tofauti ili wasijekuwa wahanga hapo baadae
Msimpuuzie mleta mada, ujue kuna watu wengi sana bado kiza na rahisi sana kutapeliwa na hii yote sababu ya tamaa. Bora waendelee kuamshwa mbinu tofauti tofauti ili wasijekuwa wahanga hapo baadae
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Sep 4, 2014 #43 sasa hivi utapeli umekuwa si mkubwa sana kulinganisha na wizi wa kutumia silaha unaofanyika kila kukicha mchana kweupe
sasa hivi utapeli umekuwa si mkubwa sana kulinganisha na wizi wa kutumia silaha unaofanyika kila kukicha mchana kweupe
M mjasiria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 4,155 Reaction score 1,866 Sep 4, 2014 #44 kimpe said: Wenye tamaa siku zote ndo wanaotapeliwa na sio washamba. Click to expand... You nailed it. tamaa ya fedha za haraka haraka. Halafu sasa eti huyo mtu anasema kabisa kaziiba hizo hela kwa wasomali na wewe upo tu??!!
kimpe said: Wenye tamaa siku zote ndo wanaotapeliwa na sio washamba. Click to expand... You nailed it. tamaa ya fedha za haraka haraka. Halafu sasa eti huyo mtu anasema kabisa kaziiba hizo hela kwa wasomali na wewe upo tu??!!
M mjasiria JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 4,155 Reaction score 1,866 Sep 4, 2014 #45 Fasouls said: Usidharau mkuu wanakuja na ndumba,labda kama uko vizuri, ukijibu anachokisema tu,utakubali kila wanalosema Click to expand... Sasa huu utakuwa uchawi sio utapeli. Au labda tuuite uchapeli.
Fasouls said: Usidharau mkuu wanakuja na ndumba,labda kama uko vizuri, ukijibu anachokisema tu,utakubali kila wanalosema Click to expand... Sasa huu utakuwa uchawi sio utapeli. Au labda tuuite uchapeli.