ipogolo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 6,279 Reaction score 5,989 Sep 16, 2018 #41 Nichumu Nibebike said: Ha haaa! Kingwa atakuwa kawalisha watu nyama ya punda... Dodoma? Mnyama pori anatokea wapi zaidi ya punda? Click to expand... Wale Wanyama kwenye mabanda viwanja vya 7/7 huwa wanatolewa wapi? Nyama pori zinauwawa porini kisha nyama huletwa mjini kwa watu.
Nichumu Nibebike said: Ha haaa! Kingwa atakuwa kawalisha watu nyama ya punda... Dodoma? Mnyama pori anatokea wapi zaidi ya punda? Click to expand... Wale Wanyama kwenye mabanda viwanja vya 7/7 huwa wanatolewa wapi? Nyama pori zinauwawa porini kisha nyama huletwa mjini kwa watu.
Q Quinine Platinum Member Joined Jul 26, 2010 Posts 25,885 Reaction score 63,442 Sep 16, 2018 #42 Enzi hizi tofauti na enzi za Nyerere imekuwa kawaida kwa jambo la kitaifa kugeuzwa la kichama, ndio maana tukio kama hili linakosa msisimuko watu wanaendelea na shughuli zao.
Enzi hizi tofauti na enzi za Nyerere imekuwa kawaida kwa jambo la kitaifa kugeuzwa la kichama, ndio maana tukio kama hili linakosa msisimuko watu wanaendelea na shughuli zao.
Zawadini JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 3,054 Reaction score 2,276 Sep 16, 2018 #43 Mungu anajua