Chanazi JF-Expert Member Joined Apr 1, 2010 Posts 212 Reaction score 72 Mar 4, 2013 #1 Nasikia Tamasha la Pasaka litafanyika hapa kwetu Chake, mwenye tarehe tafadhal atujuze... we cant wait!!
Nasikia Tamasha la Pasaka litafanyika hapa kwetu Chake, mwenye tarehe tafadhal atujuze... we cant wait!!
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,625 Reaction score 14,589 Mar 4, 2013 #2 Pasaka? Pemba? You must be kidding!
SMU JF-Expert Member Joined Feb 14, 2008 Posts 9,613 Reaction score 7,902 Mar 4, 2013 #4 Hivi FBI wanaendeleaje na uchunguzi wao?
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 Mar 4, 2013 #5 mh.!! Haijawai...hapo wanataka ubaya na watu.!
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 19,079 Reaction score 9,245 Mar 4, 2013 #6 Huko hakuna uamsho, uamsho wapo Unguja.
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,281 Mar 4, 2013 #7 Kwani katika Tamasha la Pasaka ambalo Wanamichezo wanatembeleana huwa wanaangalia ni Wapemba, Waunguja Wabara au Wamakonde? Na utajuaje huyu Golikipa ni Mkristo au Mwislamu Simbajr umenitisha unaposema We can't Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kwani katika Tamasha la Pasaka ambalo Wanamichezo wanatembeleana huwa wanaangalia ni Wapemba, Waunguja Wabara au Wamakonde? Na utajuaje huyu Golikipa ni Mkristo au Mwislamu Simbajr umenitisha unaposema We can't
mafinyofinyo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 4,404 Reaction score 3,277 Mar 4, 2013 #8 Hawachelewi kujilipua hawa watu!
Chanazi JF-Expert Member Joined Apr 1, 2010 Posts 212 Reaction score 72 Mar 4, 2013 Thread starter #9 Kuchunguza Ugoni au? SMU said: Hivi FBI wanaendeleaje na uchunguzi wao? Click to expand... Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kuchunguza Ugoni au? SMU said: Hivi FBI wanaendeleaje na uchunguzi wao? Click to expand... Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums