Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,998
-Baadhi ya wasanii waliotajwa kuwepo hawakuwepo!
-Wananchi wazuiliwa kuingia na vinywaji,vyakula,sigara, kila kitu kiliuzwa ndani!
-Marufuku kupiga picha,/kuingia na camera!
-Marufuku mtu yeyote kuingia na camera!
-wananchi wauziwa bia zilizoisha muda wa matumizi! Tena vitu viliuzwa bei juu!
-Wananchi wakaguliwa mpaka kwenye soksi!
-Marufuku kuingia na mzigo kama begi,mkoba,mfuko,wala bahasha!
Enyi clouds fm masharti haya yalikuwa na mantiki gani wakati mwananchi amelipa kiingilio
sh 5000/=
mnazuia mpaka mtu kuingia na chupa ya maji ya kunywa ili anunue ya kwenu bei juu!
mnaboa sana!!!!
source-waliohudhuria!