Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,031
- 168,654
Inabidi tutumie njia halali kuyafikia mafanikio hayo.KWELI KABISA BUJIBUJI! TAMAA YA MAFANIKIO TU NDIYO IFAAYO
Everything too much is harmful.Kuna tamaa nzuri na tamaaa mbaya ..sijui hapa unamaanisha tamaaa ipi ..maana mm naweza tamani kuwa na mke mwema au kua na nyumba nzuri hio nayo ni tamaaa sasa. dadavua vizuri ni tamaa ipi sio nzuri
Tamaa ya kuwa na nyumba nzuri au elimu kubwaKuna tamaa nzuri na tamaaa mbaya ..sijui hapa unamaanisha tamaaa ipi ..maana mm naweza tamani kuwa na mke mwema au kua na nyumba nzuri hio nayo ni tamaaa sasa. dadavua vizuri ni tamaa ipi sio nzuri
Neno Tamaa likitumika vibaya kuna watu watashindwa kutafuta maendeleo Kwa kuhisi kila akifikiriacho ni tamaa watu wawe makini na neno hiliTamaa ni Hali ya kuhitaji kuliko pitiliza.
Wahenga walisema "Tamaa mbele mauti nyuma"
Biblia inasema Yakobo : Mlango 1
15 Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti
Kumbe tamaa Ina uhusiano wa karibu Na mauti.
Je wewe unatamani nini?
Je unadhani kinaweza kuua nini ulichonacho?
Tamaa ya ngono Inaweza kuua afya yako, kuua ndoa yako, kuua heshima Na Utu wako Na hata kukuua wewe mwenyewe.
Tamaa ya Mali Hali kadhalika inaweza kukusababishia kifo.
Tamaa ni kifo jihadhari
Mfano tamaa ya kua na degree au kua na mke mwema hiyo ni mifano michache tuEverything too much is harmful.
Tamaa nzuri isiyo Na madhara ni ipi?
Hayo ni matarajioMfano tamaa ya kua na degree au kua na mke mwema hiyo ni mifano michache tu
Watofautishe kiu ya mafanikio Na tamaaNeno Tamaa likitumika vibaya kuna watu watashindwa kutafuta maendeleo Kwa kuhisi kila akifikiriacho ni tamaa watu wawe makini na neno hili
well saidTamàa ni kitu kupitiliza na hivyo ni lazima mathara yatokee
Watu wako tayari kuua ili wapate madarakaKutamani kushinda kila Jimbo au kila uchaguzi hupelekea watu kupotezwa
Your worst enemy could be your best friend and your best friend your worst enemy!Watu wako tayari kuua ili wapate madaraka
The Legend Robert nesta marley aka bob marleyYour worst enemy could be your best friend and your best friend your worst enemy!
Only your friend know your secret!
Who the cap fit? Let them wear it!
Some will hate you pretending they love you now but behind try to eliminate you!
Maneno yana ukweli sanaThe Legend Robert nesta marley aka bob marley