Kuna habari kanipatia dereva wangu ninaemtumiaga nikiwa natoka kazin,,kuwa kuna mdada alipakiwa na dereva boda alikuwa anaenda mjimwema,kufika maeneo ya kwa mwingira dereva akabadilisha njia,,dada wa watu kuuliza kulikoni??dereva boda kamjibu "ninapii"maramoja.Hapana mkuu lakini tusifikie hatua hiyo hata sisi tuna ndugu wa kike, je hao wanaofanya hivo wakisikia ndugu zao wamefanyiwa hivo watafurahi?
Asante innaUkiandika maneno yasiyohitajika jf kama matusi ndo inakua hvyo sikuhz...
Karibu tenaAsante inna
Nimeona haujaweka mambo bayana.Kwanini mkuu