Karot
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 1,159
- 1,314
Habari za mda huu ndugu zangu wa jf...
Naandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa kwa wanaume wenzangu ambao wanafanya maovu ya kuwaendea kinyume na maumbile dada zetu kisa kuwanunulia pombe na kuwapa pesa ila pamoja na yote enyi dada zangu angalieni sehemu za kucheza na mifuko ya wanaume, angalieni muonekano wa maongezi, tabia na hata muonekano na kampani zake ndo ujiamini kuwa nae japo kwa kampan ya muda.
Naenda moja kwa moja kwenye mada..
Juzi kati kuna wadada watatu waliingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wasiopungua wanne kwa kila mwanamke mmoja wadada wote nikiwa nawafahamu, wawili nawajua mpaka majina yao na mmoja nikiwa namfaham kwa sura tu.
Ishu ilikua hivi...
Wadada wawili ambao ninawakisia wakiwa na umri wa miaka 38 na kuendelea kwa kila mmoja, walikunywa pombe za kuhongwa na kufikia hatua ya kulewa tilalila bila kujua kipimo chao na kujua wapo sehemu salama au mbaya kwa maisha yao.
Baada ya kupoteza kumbu kumbu wakachukulia na watu wasiojulikana na kwenda kuwafanyia vitu vya ajabu hatimae mmoja nakuishia hospitali ambayo jina kapuni.
Katika wadada hao mmoja inasemekana ni mzoefu na mbobezi wa kila siku wa mchezo huo, hakupata shida yoyote.
Kwa upande wa dada wa tatu yeye namkisia ana umri upatao miaka 20, alipewa laki tano na mwanaume mmoja hatimae kujikuta anaingilia na wanaume zaidi ya mmoja na kulazimika kuingiliwa kinyume na maumbile habari hii nilichelewa kuipata nimeipata leo baada ya kukutana na marafiki zangu watatu tofauti na kila mmoja kunipa habari hii.
Kabla sijapata habari hii leo mida ya saa saba nimekutana nae huyo mdada miaka 20 nikamtania na akawa kanichunia na hali ya kuwa sikawaida yake kunifanyia hayo utani huo nilikua namtania wakati alikua anaondoa nguo zake alizozianika ikabidi nijiulize nimemkosa nini?
Hatimae nimepata taarifa hizo nakukumbuka mchana sababu iliyomfanya asiwe na uchangamfu juu yangu.
Mwisho, niwaase dada zangu, tuepuke vya bure na pia tusipende kupewa pombe za kupitiliza tumieni mifuko yenu ikiwa inaruhusu, ikiwa hairuhusu tafuta shuka lala na pia angalieni na watu wa kuwachezea mifuko yao.
Chezeeni mfuko wa Karot msichezee mfuko wa watu wengine.