Tally.ERP 9 software

Tally.ERP 9 software

Joined
Jun 13, 2016
Posts
10
Reaction score
4
Habari zenu,
Sisi tunatoa huduma ya installation, training, na implementation ya Tally.ERP 9
Tally ni accounting software ambayo kwa sasa inatumika na biashara nyingi ku maintain accounts books zao
Kuna aina mbili ya Tally kuna single user na multi user, sisi tunazo za aina zote hizo

Pia tunafanya installation na implementation na training mikoani
Tuna provide support after sales kwa mfano ukiface tatizo yoyote ile wakati wa kutumia hiyo software

Tushawahi kufanya installation kampuni nyingi tu

Karibuni wote, mwenye swali yoyote anaweza kuuliza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom