Irán haijawahi kuunga mkono Taliban, kwanza kiitikadi taliban ni wasunni, Irán inaona kuwaunga mkono kutahamasisha raia yake wachache wa kisunni kuwa na mtazamo wa kitaleban, hiyo ni mojaMbwa kala mbwa, sasa hapa sijui mtashabikia yupi nyie jamaa zetu humu, maana hawa wote ni wenu, kwa sasa pumzikeni kushabikia Urusi...
Irán haijawahi kuunga mkono Taliban, kwanza kiitikadi taliban ni wasunni, Irán inaona kuwaunga mkono kutahamasisha raia yake wachache wa kisunni kuwa na mtazamo wa kitaleban, hiyo ni moja
Pili vikundi vya kisunni vimekuwa vikipiga vita serikali ya Iran, kwahiyo sio suala jipya, kwa wanaofuatilia siasa za nchi hizo
Kama hii ni kweli, basi Taliban ndo watakuwa wachokoziIran's Tasnim news agency said the fighting broke out after Taliban forces tried to raise their flag "in an area which is not Afghan territory",
NANI KAKWAMBIA UISLAAM UNAWAUNGA MKONO YEYOTE KATI YAO... WAACHE WAPIGANE... SISI WAISLAAM HAWATUHUSU... ILA WATAJUANA NA WANASIASA WENZAO...
ACHA CHUKI NA UOGA DHIDI YA UISLAAM..
... wanapenda kutumia shortcut ku-justify failures zao.Wanafitinishwa wakati wote wanatumia dini moja kulipuana...
Iran ni mashia na itakadi za kishia zinajulikana, talban ni alhlul sunna wal jamaaa ni vitu viwili tofauti like usabato na ukatoliki mbona easy tu kuelewaIrán haijawahi kuunga mkono Taliban, kwanza kiitikadi taliban ni wasunni, Irán inaona kuwaunga mkono kutahamasisha raia yake wachache wa kisunni kuwa na mtazamo wa kitaleban, hiyo ni moja
Pili vikundi vya kisunni vimekuwa vikipiga vita serikali ya Iran, kwahiyo sio suala jipya, kwa wanaofuatilia siasa za nchi hizo
Wewe team mashia ama team sunniIran ni mashia na itakadi za kishia zinajulikana, talban ni alhlul sunna wal jamaaa ni vitu viwili tofauti like usabato na ukatoliki mbona easy tu kuelewa
Wote wale wale wanatumia kitabu kimoja kulipuana.....
Kumbe kuvaa suruali za wato humfanya mtu kufikiri kitoto pia[emoji16][emoji16][emoji16]... watakuambia ni fitna za wamarekani na mayahudi! Just short answers.