Yeah, achilia mbali chuki za kudini mtu alizonazo au ushabiki, jamaa yuko sawa, anayebisha haya, mtafute Yvoyne ridles ambae alitoa kitabu chake WA afghan Taliban km watu wakarimi kitabu kinaitwa on the hands of talibanSipendi huyu jamaa afe, namfagilia
alipata chongo wakati wakiwa na vita na urusi, enzi za mujjahidinaHivi ni kweli ana chongo? mpaka leo bado ni utata.
Yeah, achilia mbali chuki za kudini mtu alizonazo au ushabiki, jamaa yuko sawa, anayebisha haya, mtafute Yvoyne ridles ambae alitoa kitabu chake WA afghan Taliban km watu wakarimi kitabu kinaitwa on the hands of taliban