Ziggy Sobotka
Member
- Feb 13, 2019
- 19
- 36
Hahah! Na anajua uwekezaji haswaa maana kafanya ku buy low (wakati wanaanza maisha)Huyu ndio amejua kudanga sasa
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
[emoji2] kwamba TP hitHahah! Na anajua uwekezaji haswaa maana kafanya ku buy low (wakati wanaanza maisha)
Sasa ame sell high( washapata maisha hivyo ana take profit).
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] kwamba TP hit
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Unamfahamu vizuri au umejisikia tu kusema hivyo?!!!Huyu ndio amejua kudanga sasa
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Namfaham kuanzia plate number had chassisUnamfahamu vizuri au umejisikia tu kusema hivyo?!!!
Sio wa mchezo mchezo kama unavyomdhania, inshort hajadanga.
Huyu ndio amejua kudanga sasa
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani
Sio huku kwetu ataondoka na stuli na masufuria
Alafu wewr nimecheka haki vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa pamoja na ku settle hiyo divorce he is still the world's richest person.Huyu Bezos si toka mwanzo walimsifu hajasaini mkataba wa kutomlipa mtalaka wake yamemkuta sasa!!..