TALA yakimbia Tanzania, yafunga ofisi zake

kwa hiyo wale waliokuwa hawajamaliza madeni yao wanasikia rahaaa utamuu
 
Mi nilisikia huko Kenya kuna kijana mfanyakazi ambaye ni IT nilifuta
 
Nilisikia kuwa huko Kenya kuna kijana alikuwa anafanya kazi upande wa IT alifuta data zote sasa sijajua hawakuwa na backup
 
Deni lao kuna Muda nilikuwa naota kila mara wamenifata na uku mkoani baada ya kukimbia uko Dar, zile ndoto nyevu sasa ivi zitaisha
 
Duh..kweli wabongo ni kiboko..!! Nasoma comments naishia kucheka tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…