K kisewa Senior Member Joined Jul 12, 2018 Posts 186 Reaction score 111 Aug 8, 2018 Thread starter #21 Mtoto halali na hela said: Kimarangu ni makalio Click to expand... Hahahaha sawa mangi pesa mtwara kuna duka limeandikwa KISEWA SHOP
Mtoto halali na hela said: Kimarangu ni makalio Click to expand... Hahahaha sawa mangi pesa mtwara kuna duka limeandikwa KISEWA SHOP
K kisewa Senior Member Joined Jul 12, 2018 Posts 186 Reaction score 111 Aug 8, 2018 Thread starter #22 sayoo said: Kiwango Cha chini ni kiasi gan na Cha juu ni kiasi gan tafadhal,. Nijuze Kama wafaham Click to expand... Wanaanza na 20000elfu mwisho ni 300000
sayoo said: Kiwango Cha chini ni kiasi gan na Cha juu ni kiasi gan tafadhal,. Nijuze Kama wafaham Click to expand... Wanaanza na 20000elfu mwisho ni 300000
Zero Star JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 4,258 Reaction score 8,615 Aug 8, 2018 #23 kisewa said: Kizuri kula na nduguyako ndio maana nimekuja kuku tangazia usipate shida wakati mkopo upo wa masharti na fuu Click to expand... Mkuu mkopo si kitu kizuri ata cku moja usijidanganye,ukasema kizur kula na ndgu yko.... Mkopo ni adui mbaya wa akiba yko hasa hii yenye riba,
kisewa said: Kizuri kula na nduguyako ndio maana nimekuja kuku tangazia usipate shida wakati mkopo upo wa masharti na fuu Click to expand... Mkuu mkopo si kitu kizuri ata cku moja usijidanganye,ukasema kizur kula na ndgu yko.... Mkopo ni adui mbaya wa akiba yko hasa hii yenye riba,
samalanga JF-Expert Member Joined Aug 3, 2009 Posts 336 Reaction score 245 Aug 8, 2018 #24 Branch nao ni wazuri,ila pia lazima uwe na account Facebook na majina ya fb ya lingane na vitambulisho utakavyo tuma.
Branch nao ni wazuri,ila pia lazima uwe na account Facebook na majina ya fb ya lingane na vitambulisho utakavyo tuma.
K kisewa Senior Member Joined Jul 12, 2018 Posts 186 Reaction score 111 Aug 8, 2018 Thread starter #25 King Sae said: Mkuu mkopo si kitu kizuri ata cku moja usijidanganye,ukasema kizur kula na ndgu yko.... Mkopo ni adui mbaya wa akiba yko hasa hii yenye riba, Click to expand... Hahaha sawa mkuu ila kuna muda unakuwa huna kitu unahamua kukopa ilituu kuokoa jahazi mkuu sidhani kama kuna mtu anaeweza kukopa ikiwa hana shida
King Sae said: Mkuu mkopo si kitu kizuri ata cku moja usijidanganye,ukasema kizur kula na ndgu yko.... Mkopo ni adui mbaya wa akiba yko hasa hii yenye riba, Click to expand... Hahaha sawa mkuu ila kuna muda unakuwa huna kitu unahamua kukopa ilituu kuokoa jahazi mkuu sidhani kama kuna mtu anaeweza kukopa ikiwa hana shida
Towned JF-Expert Member Joined Aug 7, 2018 Posts 226 Reaction score 300 Aug 9, 2018 #26 Mkuu yani unakopa 20,000? Uifanyie nini?
October man JF-Expert Member Joined Nov 23, 2017 Posts 3,631 Reaction score 5,023 Aug 13, 2018 #27 Hao Tala wanazingua eti nimejaribu kujiunga wanasema simu hii yangu kuna mtu alishawai kujiunga na Tala so aiwezekani mpaka nowasiliane na aliyewai jiunga kwa simu hii sasa simu imepita kwa watu wangapi hii
Hao Tala wanazingua eti nimejaribu kujiunga wanasema simu hii yangu kuna mtu alishawai kujiunga na Tala so aiwezekani mpaka nowasiliane na aliyewai jiunga kwa simu hii sasa simu imepita kwa watu wangapi hii
October man JF-Expert Member Joined Nov 23, 2017 Posts 3,631 Reaction score 5,023 Aug 13, 2018 #28 Towned said: Mkuu yani unakopa 20,000? Uifanyie nini? Click to expand... Ili ujenge uwaminifu wa kukopa hadi millioni
Towned said: Mkuu yani unakopa 20,000? Uifanyie nini? Click to expand... Ili ujenge uwaminifu wa kukopa hadi millioni
Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,052 Reaction score 3,272 Dec 25, 2018 #29 Viatu vya Samaki said: Mbona unaitangaza kama Meneja? Click to expand... Labda kuna referral commission [emoji4] [emoji4]
Viatu vya Samaki said: Mbona unaitangaza kama Meneja? Click to expand... Labda kuna referral commission [emoji4] [emoji4]
Madimba jr JF-Expert Member Joined Aug 12, 2017 Posts 1,585 Reaction score 3,182 Dec 25, 2018 #30 Hammy Js said: Labda kuna referral commission [emoji4] [emoji4] Click to expand... na ndo iko hivyo anakula commission
Hammy Js said: Labda kuna referral commission [emoji4] [emoji4] Click to expand... na ndo iko hivyo anakula commission