Escotter20
JF-Expert Member
- Jul 20, 2020
- 505
- 970
Itoshe tu kusema... Tangu Bacca aanze kucheza kwenye kikosi cha Yanga kwenye michuano ya CAFCC, Yanga hawajaruhusu bao !! [emoji119]
[emoji1241] Yanga 2 - 0 Bamako [emoji1159]
[emoji1241] Yanga 2 - 0 Monastir [emoji1249]
[emoji1078] TP Mazembe 0 - 1 Yanga [emoji1241]
[emoji1184] Rivers 0 - 2 Yanga [emoji1241]
[emoji1241] Yanga 0 - 0 Rivers [emoji1184]
[emoji1241] Yanga 2 - 0 Marumo [emoji1221]
06 - Games
06 - Cleansheets [emoji357]
Β» Yanga imekuwa klabu ya kwanza kwenye mashindano ya CAF 2022/23 kutoruhusu bao kwenye michezo (6) mfululizo [emoji419]
NB ; Kuanzia group stage mpaka sasa Yanga wameruhusu mabao (4) tu, na mabao yote walifungwa Bacca akiwa benchi !!!
[emoji1249] US Monastir 2 - 0 Yanga [emoji1241]
[emoji1241] Yanga 3 - 1 TP Mazembe
[emoji1159] Bamako 1 - 1 Yanga [emoji1241]
NB ; Bonge moja la defender [emoji91][emoji91]
#timuyawananchi
#yangayangudaima
#pageniyakomwananchi
Nitajie mashindano ambayo timu yako ipo sasa ambayo sio mashindano ya waliofeliShirikisho la waliofeli vs caf klabu bingwa timu zenye ushawishi Afrika na duniani
Nguvu moja
Ni upuuzi haswaa BACCA is magicianNi upuuzi kumfananisha Bacca na Inonga.
Bacca ni Ramos mtupu.
Muda upi mkuuInonga ni mchezaji bora wa muda wote...huyo Bacca mpeni muda
Bacca ni bonge la beki nchni... Tangu Bacca aanze kucheza kwenye kikosi cha Yanga kwenye michuano ya CAFCC, Yanga hawajaruhusu bao !! [emoji119]
[emoji1241] Yanga 2 - 0 Bamako [emoji1159]
[emoji1241] Yanga 2 - 0 Monastir [emoji1249]
[emoji1078] TP Mazembe 0 - 1 Yanga [emoji1241]
[emoji1184] Rivers 0 - 2 Yanga [emoji1241]
[emoji1241] Yanga 0 - 0 Rivers [emoji1184]
[emoji1241] Yanga 2 - 0 Marumo [emoji1221]
06 - Games
06 - Cleansheets [emoji357]
Β» Yanga imekuwa klabu ya kwanza kwenye mashindano ya CAF 2022/23 kutoruhusu bao kwenye michezo (6) mfululizo [emoji419]
NB ; Kuanzia group stage mpaka sasa Yanga wameruhusu mabao (4) tu, na mabao yote walifungwa Bacca akiwa benchi !!!
[emoji1249] US Monastir 2 - 0 Yanga [emoji1241]
[emoji1241] Yanga 3 - 1 TP Mazembe
[emoji1159] Bamako 1 - 1 Yanga [emoji1241]
NB ; Bonge moja la defender [emoji91][emoji91]
#timuyawananchi
#yangayangudaima
#pageniyakomwananchi
Sijui kwanini siku ile hawakumpanga amzuie kibu denga kupiga muwa uliotaka kumuua skrini protektaBacca ni bonge la beki nchni
Ndiyo alikuwa benchi. Na kati ya kosa kubwa liliyofanywa na kocha wa Yanga siku hiyo ya mechi, lilikuwa ni hili la kumuacha nje Ibrahimu Bacca.Hivi kwenye ile 2-0 ya simba vs yanga kibu anapiga muwa wa hatari bacca alikuwa bench?
Kiukweli Bacca ni beki kitasa hasa na hiyo ni hazina ya taifa ,lakini kumlinganisha na Inonga sio sawa, kwa sababu Bacca mabeki anao cheza nao hawana makosa mengi kama mabeki anao cheza nao Inonga.Ndiyo alikuwa benchi. Na kati ya kosa kubwa liliyofanywa na kocha wa Yanga siku hiyo ya mechi, lilikuwa ni hili la kumuacha nje Ibrahimu Bacca.
Huyu mchezaji anajituma sana uwanjani. Na amekuwa akiwafichia mabeki wenzake makosa mengi kwa ku clear mipira ya hatari kupitia zile tackling.
AiseeeNi upuuzi kumfananisha Bacca na Inonga.
Bacca ni Ramos mtupu.
Muda kama ule wa Sawadogo sioInonga ni mchezaji bora wa muda wote...huyo Bacca mpeni muda
Hapana, muda kama wa saprong
Muda, Mudathiri AbbasInonga ni mchezaji bora wa muda wote...huyo Bacca mpeni muda
Walikuwa na mechi kubwa dhidi ya Rivers ile hawakuipa kipaumbeleHivi kwenye ile 2-0 ya simba vs yanga kibu anapiga muwa wa hatari bacca alikuwa bench?