UmetishaO.J. Simpson aachiwa na bodi ya parole jimbo la Nevada..muda huu
Pamoja mkuu
Je tunanufaika ipasavyo?Tanzania, ndiyo nchi bora na yenye vivutio vingi sana Kwa utalii barani Afrika.
Felicitations Mon Pays, Tanzanie!
Mapato yanayoingia kwa utalii kwa mwaka ni sh ngapi?Ndiyooooooooo!
Mana kwa England utalii wa viwanja tu kwa mwaka unaingiza zaidi ya pauni mil 600Ndiyooooooooo!
Na kukiwa na mipango mizuri inaweza ingiza zaidi ya hapoSoma budget yetu wizara ya maliasili na utalii utaelewa au report za BOT .
Kwa kukusaidia tu, ni kwamba Kati ya sekta 5 zinazoiingizia serikali ya Tanzania pato utalii ni miongoni mwa sector hizo, mara nyingi ni sekta ya 1ama ya 2 ikishuka sana ni 3.
Mfano, kila mwaka ni dollar 2+ billion.
DuhMkuu, naelewa ila mimi siyo msemaji wao wala mfanyakazi wa serikalini.
Wenyewe wanajua ila binafsi napata faida kutokana na utalii.