Wewe utakuwa ni Uto ProUnahitaji counselling ya maana sana maana una mihemko sanaa
Bora kuliko kuwa MBUMBUMBUWewe utakuwa ni Uto Pro
hujui kubet ...mm sio utopolo ila ulichoandika kiujumla hukufikiria kabisa bali uliandka kw mihemko kiufupi hujui uchambuziWewe utakuwa ni Uto Pro
Huyo Baleke ni kama Chico Ushindi tu, na huyo Sawadogo ni sawa na Abduaziz Makame, muda utasema.Haya wadau, hivi karibuni kupitia usajili wa dirisha dogo tumeshuhudia timu za Simba na Yanga zikifanya usajili wa kuboresha timu zao.
Hapa nawaleta kwenu Baleke mchezaji wa Simba na Musonda wa Yanga ili tuwafananishe kwa takwimu na namna wanavyozutumikia timu zao.
Yalisemwa mengi na wahasimu wa timu hizi mbili kuhusu sajili za wachezaji hawa lakini wataalamu walisema mpira ni mchezo wa wazi na tumeshaanza kuwaona kwani kila mmoja ameshatumikia timu yake kwenye mechi moja ya NBC Premier League.
Je, yale majigambo yetu yalikuwa sahihi?!
OKW BOBAN SUNZU Mzee wa Takwimu
Hapa hata wewe umetumia mihemko tu, mbona husemi musonda ni sawa na nani?Huyo Baleke ni kama Chico Ushindi tu, na huyo Sawadogo ni sawa na Abduaziz Makame, muda utasema.
Huyo Baleke ni kama Chico Ushindi tu, na huyo Sawadogo ni sawa na Abduaziz Makame, muda utasema.
Kama kawaida yako mzee wa gunduEti Musonda ana mikimbio mizuri. Mikimbio hata bata anayo
1.Baleke shot on goal na goal anavyo.
2Musonda no shot on goal