Sisi wanayanga hatuna imani na tff katika kuisimamia haki tena. Hivyo tunaomba muingilie kati maana timu zinatumia raslimali nyingi kujiendesha. Mechi ya mbao ilishangaza wengi wenye akili timamu,maana vituko vilivyooneshwa na yule golikipa ni beyond reality. Tunaomba achunguzwe kwenye akaunti yake, na hata mawasiliano yake. Na mali anazomiliki kwa sasa ukilnganisha na pato lake. Vinginevyo hatuta vumilia ,nadhani nguvu ya yanga mnaijua. Na naomba viongoz muitishe kikao cha dharura ,tufanye maamuzi. Nnachojua Wambura atamponza malinzi , uchaguzi ni mwezi Wa nane