TAKUKURU mkimaliza CHADEMA mgeukie na CCM

Ramark

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2015
Posts
1,989
Reaction score
1,450
Mwanzoni mwa utawala wa Mkiti Magufuli katika chama chake aliagiza kamati chini ya Dk Bashiru kutafiti Mali za chama huku kukiwa na mashaka ya Mali hizo kuhujumiwa na viongozi waliotangulia zikiwemo pesa.

Kamati ilifanya kazi na taarifa ikakabidhiwa kwa Mkiti ambaye pia aligusia miradi mingi na Mali za CCM mambo mbalimbali ikiwemo fedha kubaki 1b wakati wanachunguza, Mali kuhodhiwa nahata kujinufaisha,

Taarifa ikazimwa na Bashiru akala ukatibu Ili anyamaze nakufuatilia Mali hizo kwa urahisi Baadaye bw lusinde akasema Mali nyingi zilihodhiwa na anaweza kusema mfano ni channel ten na mengino yaliyopo.

Hizo ni tuhuma zilitolewa na Mkiti kurhibitishwa na KATIBU hivyo usahidi upo, mbona TAKUKURU hawakusema wachukue hatua?. Au mpaka wapewe maagizo?

Tukikumbuka Mali nyingi za CCM awali zilijengwa na kumilikiwa na Watz wote lkn vyama vingi vikatugawanya na wakakabidhiwa rasmi, hivyo mali ya wanaTANU na CCM imetapanywa na viongozi na watendaji WA chama hivyo suala LA kuchukuliwa hatua lilenge maslahi ya umma kwani vyama hivi ni vya watu.

TAKUKURU kwaCCM hawahitaji kuhoji Bali kudai taarifa ya kamati ya uhakiki WA Mali za chama iliokabidhiwa kwa Mkiti WA CCM na katibu WA CCM ambaye alikuwa Mkiti WA kamati, TAKUKURU uwanapaswa kutenda haki kwa vyama vyote lasivyo tutawaona wanaajenda binafsi dhidi ya CHADEMA.

Mpaka Leo TAKUKURU wapo Ufipa wakihojihoji juu ya ubadhirifu WA Mali za chama nawasihi nanyi ndugu naomba muwasihi wakimaliza wahamie CCM wawashughulikie kama wanavyowashughulikia Sasa na baadaye CDM ili tujue TAKUKURu IPO kwa kusimamia sheria na maslahi ya umma.
 
Mkuu, PCCB inafanya hivyo kwa maelekezo ili kuweza kui "derail' CDM ielekeapo ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Huu ni muendelezo wa hila kutokana na kukubalika kwa chama hiki kwa wananchi waliokuwa wengi, na hasa kwa kuzingatia hofu itokanayo na kumbukumbu ya mazingira ya mwaka 2015.

Tumeshuhudia figisu nyingi na za mfululizo zikifanywa na CCM dhidi yake, ikiwemo shughuli halali za kuendesha siasa zikiwekewa mizengwe kinyume cha katiba na sheria, na pia viongozi wake kuandamwa na kesi luluki za kubambikiwa na kutumia muda wao mwingi mahakamani na siyo katika kukiimarisha chama.

Kama hiyo haitoshi, tumeshuhudia madiwani na wabunge wengi wakighilibiwa kwa rushwa ili waachane na chama hiki. Huu sasa nao ni mpango mpya wa kutaka kukifanya chama kitoke kwenye malengo yake ya kimkakati ya kutaka kutwaa dola.

Aidha, huu ni mkakati wa kijinga wa kutaka kutumia hila ya kutambua vyanzo vya mapato na matumizi, ikiwa kama njia ya hasimu ya kisiasa kutaka kupata uhakika sasa wa nguvu za CDM kifedha. Yaani tuhuma za viongozi walionunuliwa kwa rushwa zinafanyiwa kazi kwa haraka mno, licha ya ukaguzi wa hesabu uliokwisha kufanyiwa kazi CAG muda mfupi tu uliopita.

Mpaka siku ya uchaguzi mkuu ikifika tutarajie kuona vituko vingi sana vikifanywa na chama tawala dhidi ya CDM. Sijui woga huu unaotokana na nini!
 
Mwanzoni mwa utawala wa Mkiti Magufuli katika chama chake aliagiza kamati chini ya Dk Bashiru kutafiti Mali za chama huku kukiwa na mashaka ya Mali hizo kuhujumiwa na viongozi waliotangulia zikiwemo pesa.

Kamati ilifanya kazi na taarifa ikakabidhiwa kwa Mkiti ambaye pia aligusia miradi mingi na Mali za CCM mambo mbalimbali ikiwemo fedha kubaki 1b wakati wanachunguza, Mali kuhodhiwa nahata kujinufaisha,

Taarifa ikazimwa na Bashiru akala ukatibu Ili anyamaze nakufuatilia Mali hizo kwa urahisi Baadaye bw lusinde akasema Mali nyingi zilihodhiwa na anaweza kusema mfano ni channel ten na mengino yaliyopo.

Hizo ni tuhuma zilitolewa na Mkiti kurhibitishwa na KATIBU hivyo usahidi upo, mbona TAKUKURU hawakusema wachukue hatua?. Au mpaka wapewe maagizo?

Tukikumbuka Mali nyingi za CCM awali zilijengwa na kumilikiwa na Watz wote lkn vyama vingi vikatugawanya na wakakabidhiwa rasmi, hivyo mali ya wanaTANU na CCM imetapanywa na viongozi na watendaji WA chama hivyo suala LA kuchukuliwa hatua lilenge maslahi ya umma kwani vyama hivi ni vya watu.

TAKUKURU kwaCCM hawahitaji kuhoji Bali kudai taarifa ya kamati ya uhakiki WA Mali za chama iliokabidhiwa kwa Mkiti WA CCM na katibu WA CCM ambaye alikuwa Mkiti WA kamati, TAKUKURU uwanapaswa kutenda haki kwa vyama vyote lasivyo tutawaona wanaajenda binafsi dhidi ya CHADEMA.

Mpaka Leo TAKUKURU wapo Ufipa wakihojihoji juu ya ubadhirifu WA Mali za chama nawasihi nanyi ndugu naomba muwasihi wakimaliza wahamie CCM wawashughulikie kama wanavyowashughulikia Sasa na baadaye CDM ili tujue TAKUKURu IPO kwa kusimamia sheria na maslahi ya umma.
Ccm yenyewe ilichukua hatua zake kurejesha mali zake zote zilizokuwa zimeporwa. Na waliokuwa wamezipora walichukuliwa hatia. Tofauti na Chadema mpaka watu wamejilipua kusema ukweli
Screenshot_20200606-171834.jpg
 
Baada ya kwenda watoe ripoti zote ili tujue wapi ni wabadilifu au la na kwa kiwango gani
 
Mwanzoni mwa utawala wa Mkiti Magufuli katika chama chake aliagiza kamati chini ya Dk Bashiru kutafiti Mali za chama huku kukiwa na mashaka ya Mali hizo kuhujumiwa na viongozi waliotangulia zikiwemo pesa.

Kamati ilifanya kazi na taarifa ikakabidhiwa kwa Mkiti ambaye pia aligusia miradi mingi na Mali za CCM mambo mbalimbali ikiwemo fedha kubaki 1b wakati wanachunguza, Mali kuhodhiwa nahata kujinufaisha,

Taarifa ikazimwa na Bashiru akala ukatibu Ili anyamaze nakufuatilia Mali hizo kwa urahisi Baadaye bw lusinde akasema Mali nyingi zilihodhiwa na anaweza kusema mfano ni channel ten na mengino yaliyopo.

Hizo ni tuhuma zilitolewa na Mkiti kurhibitishwa na KATIBU hivyo usahidi upo, mbona TAKUKURU hawakusema wachukue hatua?. Au mpaka wapewe maagizo?

Tukikumbuka Mali nyingi za CCM awali zilijengwa na kumilikiwa na Watz wote lkn vyama vingi vikatugawanya na wakakabidhiwa rasmi, hivyo mali ya wanaTANU na CCM imetapanywa na viongozi na watendaji WA chama hivyo suala LA kuchukuliwa hatua lilenge maslahi ya umma kwani vyama hivi ni vya watu.

TAKUKURU kwaCCM hawahitaji kuhoji Bali kudai taarifa ya kamati ya uhakiki WA Mali za chama iliokabidhiwa kwa Mkiti WA CCM na katibu WA CCM ambaye alikuwa Mkiti WA kamati, TAKUKURU uwanapaswa kutenda haki kwa vyama vyote lasivyo tutawaona wanaajenda binafsi dhidi ya CHADEMA.

Mpaka Leo TAKUKURU wapo Ufipa wakihojihoji juu ya ubadhirifu WA Mali za chama nawasihi nanyi ndugu naomba muwasihi wakimaliza wahamie CCM wawashughulikie kama wanavyowashughulikia Sasa na baadaye CDM ili tujue TAKUKURu IPO kwa kusimamia sheria na maslahi ya umma.

Kama wewe mwana CCM anza kulalamika wapi kuna matumizi mabaya ya chama ili waikague.
Chadema kuna wizi na matumizi.mabaya ya madaraka kwa wamama, lakini hata haki.za binadam wamekaa kimya.
 
Kwan unadhan wanafanya hili kwa bahati mbaya?kuna jambo linatafutwa na kwa mkakati maalumu c bure.
 
Amini amini nawaambia hakuna mwana CCM hata mmoja asiye na mikono michafu ya uporaji wa mali za umma ama rushwa. Wote, wote kabisa toka viongozi wa juu wa chama, makada waaminifu mpaka wachama wa kawaida, wote wamenufaika sana na uwepo wa fursa za kutajirika na kujipatia mali wanazozimiliki kutokana mianya ya rushwa.

Mali zote zinazozimilikiwa na chama ama mtu mmoja mmoja zote ni uporaji mtupu wa mali za umma na rushwa tu. Time will tell and reveal the truth.
 
Kama wewe mwana CCM anza kulalamika wapi kuna matumizi mabaya ya chama ili waikague.
Chadema kuna wizi na matumizi.mabaya ya madaraka kwa wamama, lakini hata haki.za binadam wamekaa kimya.
Mkiti, katibu na lusinde walilamika kwa nn hatua hazikuchukuliwa?
 
Ccm yenyewe ilichukua hatua zake kurejesha mali zake zote zilizokuwa zimeporwa. Na waliokuwa wamezipora walichukuliwa hatia. Tofauti na Chadema mpaka watu wamejilipua kusema ukweliView attachment 1470199
Hao wezi wapo kwa nn hatuwaoni TAKUKURu au mahakamani au pengine jela

Au mnaogopa chama kitachanika?
Kama ndivyo na CHADEMA iachwe
 
Mwanzoni mwa utawala wa Mkiti Magufuli katika chama chake aliagiza kamati chini ya Dk Bashiru kutafiti Mali za chama huku kukiwa na mashaka ya Mali hizo kuhujumiwa na viongozi waliotangulia zikiwemo pesa.

Kamati ilifanya kazi na taarifa ikakabidhiwa kwa Mkiti ambaye pia aligusia miradi mingi na Mali za CCM mambo mbalimbali ikiwemo fedha kubaki 1b wakati wanachunguza, Mali kuhodhiwa nahata kujinufaisha,

Taarifa ikazimwa na Bashiru akala ukatibu Ili anyamaze nakufuatilia Mali hizo kwa urahisi Baadaye bw lusinde akasema Mali nyingi zilihodhiwa na anaweza kusema mfano ni channel ten na mengino yaliyopo.

Hizo ni tuhuma zilitolewa na Mkiti kurhibitishwa na KATIBU hivyo usahidi upo, mbona TAKUKURU hawakusema wachukue hatua?. Au mpaka wapewe maagizo?

Tukikumbuka Mali nyingi za CCM awali zilijengwa na kumilikiwa na Watz wote lkn vyama vingi vikatugawanya na wakakabidhiwa rasmi, hivyo mali ya wanaTANU na CCM imetapanywa na viongozi na watendaji WA chama hivyo suala LA kuchukuliwa hatua lilenge maslahi ya umma kwani vyama hivi ni vya watu.

TAKUKURU kwaCCM hawahitaji kuhoji Bali kudai taarifa ya kamati ya uhakiki WA Mali za chama iliokabidhiwa kwa Mkiti WA CCM na katibu WA CCM ambaye alikuwa Mkiti WA kamati, TAKUKURU uwanapaswa kutenda haki kwa vyama vyote lasivyo tutawaona wanaajenda binafsi dhidi ya CHADEMA.

Mpaka Leo TAKUKURU wapo Ufipa wakihojihoji juu ya ubadhirifu WA Mali za chama nawasihi nanyi ndugu naomba muwasihi wakimaliza wahamie CCM wawashughulikie kama wanavyowashughulikia Sasa na baadaye CDM ili tujue TAKUKURu IPO kwa kusimamia sheria na maslahi ya umma.
CAG alishaikagua chadema, Hawa TAKUKURU hawaikagui chadema Bali wanamchunguza Mbowe mwenyekiti ambaye ni mtu binafsi kufuatia tuhuma zilizo tolewa na wabunge wa chadema kwamba amefisadi michango yao wanayokatwa kwenye mishahara yao kila mwezi. Kumbuka mbunge wa kuchaguliwa anatoa laki 5' viti maalumu million 1.5 kila mwenzi.
Kinachochunguzwa siyo ruzuku Wala mali za chadema unachunguzwa wizi wa 8.9 billion alizipiga Mbowe.
Umeelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan unadhan wanafanya hili kwa bahati mbaya?kuna jambo linatafutwa na kwa mkakati maalumu c bure.
Kama wameshindwa polisi,DPP, mahakama,jiwe, wasiojulikana,msajili kupambana na chadema je unadhani takukuru wataweza?
 
Back
Top Bottom