Nitafurahia kusikia takukuru wanawakamata wagombea wa igunga,nzega,kahama,vunjo,kyela,urambo,monduli ambako kumeripotiwa rafu za waziwazi wakati wa uchaguzi,kamatakamta yao isiendeshwe kwa misingi ya chuki kwa kundi fulani

Unakumbuka takukuru walivuoisafisha richmond?kwa hiyo utajua kundi gani laweza kuwa walengwa mkuu,
ndio maana nataka wafanye kazi kwa haki na nchi nzima

Hapa sio suala la kubishana, ni suala la kutetea hoja uliyoianzisha mwenyewe! Au ulifikiri unaweza kuleta umbea watu wakubaliane nao? Leta hoja zenye takwimu, tutaziunga mkono!