Takribani Waisrael 1,280 wameuliwa tayari katika vita na Iran

Takribani Waisrael 1,280 wameuliwa tayari katika vita na Iran

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,395
The number of casualties in the occupied territories has surpassed 1,280 people.

The Hebrew group of Tasnim has examined data related to the following Israeli cemeteries:

1) Har HaMenuchot Cemetery in Jerusalem

2) Yarkon Cemetery in Petah Tikva

3) Holon Cemetery in Holon

4) Segula Cemetery in Petah Tikva

5) Kiryat Shaul Cemetery in Tel Aviv

6) Har HaZeitim Cemetery in Jerusalem

7) Haifa Cemetery in Haifa

8) Nahalat Yitzhak Cemetery in Givatayim

9) Rehovot Cemetery in Rehovot

10) Ashdod Cemetery in Ashdod

Tasnim has also taken a look at the casualties in the Chevra Kadisha organizations in Tel Aviv, Jerusalem (occupied al-Quds), Haifa, Petah Tikva, and Rishon LeZion, as well as data related to the movements of ZAKA (Zihuy Korbanot Ason) or “Disaster Victim Identification” teams, reaching the conclusion that the number of casualties in the recent war in Israel is at least 1,281.

Chevra Kadisha are the responsible organizations for burial affairs in Israel.

Based on the findings of the Hebrew website of Tasnim, an analysis of data related to the database of cemeteries in Israel indicates that the average number of deaths in the occupied territories is about 150 people on ordinary days. However, an additional daily average of 61 people has been added over the past 21 days, bringing the average number of those buried during these days to at least 211 per day.

Therefore, if the minimum casualties is estimated at an average of 61 people per day, a total of 1,281 fatalities can be projected over a period of 21 days.

The statistics related to the movements of ZAKA rescue teams also report 703 cases. Considering that ZAKA, unlike regular emergency services that use ambulances to transport the injured, is specifically for the deceased, this level of movement further substantiates the figure of 1,281 rather than what official Israeli accounts claim.

ZAKA teams are part of a volunteer rescue organization in the Zionist regime that operate at scenes of death and severe incidents, not in transporting the injured.

In this analysis, the statistics related to the casualties in Arad and Dimona that occurred yesterday have not yet been taken into account.

20260322_213606.jpg
20260316_095233.jpg
20260310_034605.jpg
 
Attachments

  • 20260322_123112.jpg
    20260322_123112.jpg
    86.3 KB · Views: 1
  • 20260310_034230.jpg
    20260310_034230.jpg
    104.8 KB · Views: 1
Wewe jamaa ni muongo sana, wewe ndo ulizusha hapa kuwa Netanyau ameuliwa! Leo umekuja na uongo mwingine??? Huwa nakuambia Israel ni Taifa la Mungu unayepiga na Israel utakufa wewe! Iran inyoshe tu mikono maana haitashinda hii vita! Badala yake viongozi wake watapukutika wataisha! Shauri yao!
 
🚮
 
Halafu mkishatengeneza hizo data za uwongo, inasaidia nini?

Kama inasaidia kusema uwongo, msiishie hiyo 1,200, semeni Waisrael wote wamekwishauawa, na hakuna shambulio lolote sasa hivi linalofanywa tokea Israel, Iran sasa hivi ni mahali salama kabisa ambapo wananchi wake wanaishi kwa amani kwa sababu hakuna tishio. Halafu pelekeni taatifa Iran kuwa mnawasaidia sana kushinda vita kwa kuandika stories za ushindi.
 
Trump kaingia kwenye kina kirefu asichoweza kuogelea

Sasa anajamba jamba tu
FB_IMG_1774236651577.jpg
🤣🤣
 
Wewe jamaa ni muongo sana, wewe ndo ulizusha hapa kuwa Netanyau ameuliwa! Leo umekuja na uongo mwingine??? Huwa nakuambia Israel ni Taifa la Mungu unayepiga na Israel utakufa wewe! Iran inyoshe tu mikono maana haitashinda hii vita! Badala yake viongozi wake watapukutika wataisha! Shauri yao!
Netanyahu kafa huo ndo ukweli ile picha ya jana akitembelea Dimona ni picha ya mwaka jana.
 
Wewe jamaa ni muongo sana, wewe ndo ulizusha hapa kuwa Netanyau ameuliwa! Leo umekuja na uongo mwingine??? Huwa nakuambia Israel ni Taifa la Mungu unayepiga na Israel utakufa wewe! Iran inyoshe tu mikono maana haitashinda hii vita! Badala yake viongozi wake watapukutika wataisha! Shauri yao!
Tuwe wakweli na waungwana Kimsboy hakuzusha yeye habari hiyo,habari hiyo ilisambaa Dunia nzima baada ya watu kote duniani kuhoji Natanyahu Yuko wapi,maana hakuonekana kipindi kirefu Cha vita.
 
Trump kaingia kwenye kina kirefu asichoweza kuogelea

Sasa anajamba jamba tu View attachment 3561604🤣🤣
ICHI KIZEE CHA KILOKOLE ndio kilikuwa kinadai kuweza kuifanya Marekani yenye nguvu tena.🤠🤠

Chenyewe kimeingizwa chaka na Netanyahu🤠

pesa zote Tozoz zimeenda kwenye Vita!!!

Gulf States inaondoka kwenye mikono ya USA🤠🤠

pamoja na petrol Dollar.🤠🤠

Kazee kamekuja kuleta majanga USA sio zaidi🤠
 
All in all, vita sio nzuri

Tazama vita vinapiganwa Mashariki ya mbali, lakini athari zake hadi mwendesha bodaboda wa Chitoholi kwa akina Harmonize huko Tandahimba anazipata kwa kununua Lita ya Petroli kwa shilingi 3,500

Tungekuwa kuna nafasi ya kushauri vita iishe, tungefanya hivyo

Bahati mbaya Nchi yetu haina tena Nyerere wa mwaka 1962 aliyepigiwa mizinga 28 akipokelewa na John F Kennedy
 
Wewe jamaa ni muongo sana, wewe ndo ulizusha hapa kuwa Netanyau ameuliwa! Leo umekuja na uongo mwingine??? Huwa nakuambia Israel ni Taifa la Mungu unayepiga na Israel utakufa wewe! Iran inyoshe tu mikono maana haitashinda hii vita! Badala yake viongozi wake watapukutika wataisha! Shauri yao!
Basi huyo Mungu wenu mpumbavu nae,kama taifa linaitwa la mungu halafu linakuwa makao makuu ya ushoga na linasupport ushoga nina wasiwasi na huyo mungu wenu na nyie watu wake
 
ICHI KIZEE CHA KILOKOLE ndio kilikuwa kinadai kuweza kuifanya Marekani yenye nguvu tena.🤠🤠

Chenyewe kimeingizwa chaka na Netanyahu🤠

pesa zote Tozoz zimeenda kwenye Vita!!!

Gulf States inaondoka kwenye mikono ya USA🤠🤠

pamoja na petrol Dollar.🤠🤠

Kazee kamekuja kuleta majanga USA sio zaidi🤠
Atakumbukwa kwa kuiharibu diplomasia ya Marekani kwenye nchi za Middle East, na kuipa Iran njia ya kufanya biashara na kuzitoza hela meli zote zinazopita kwenye mlango wa Strait Hormuz.
 
Back
Top Bottom