unajua mtoa mada , angejaribu kutoa mfano mmojawapo uliomkera mpaka kuamua kushawishi wanajf wengine wafikie hatua ya kumchukia mtu huyu, mimi binafsi huwa wakati mwingine nakubaliana naye ktk mpangilio wa kipindi chao, na wakati mwingine sifurahishwi nao, haswa muda mwingi wanapoutumia kama porojo ,na vicheko visivyo na maana, lkn panapotokea issue ,fulani ktk jamii yetu huifuatilia na kuweka hewani maneno ya muhusika mwenyewe huwa nawafurahia saana na wanapoanza kuchambua maneno yale, USHAURI kibonde pima kama kuna eneo unalalamikiwa na unauwezo wa kubadiklika basi badilika kwa manufaa ya radio yenu bora, upenzi wako kwa ccm kama kweli hiyo ni haki yako.