Mkuu huyu nai kwa kuwadanganya watu hodari sana lakini nai hujipa adhabu yeye mwenyewe na hicho kibandeko chake kama mkate wa maji ni bora safari hii kama j k atakwenda kuumuaga kwa kipindi chake kinakaribia kuisha basi ampelekee kizawadi cha kofia ya baragashia kama kumbu kumbu yake