muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,604
- Thread starter
-
- #41
Then do it cautiously!my ambition is not to be mwanaume wa ukweli with regards to society's standards. my ambition in life is to be happy...gegedaring women is what makes me happy to be alive
Kwa nini?Huyu usimmention...!!!!
Nimelegea kupita maelezo.shemeji yako sijui yuko wapiMh, mapole ng'wanike wane! Ugupila duhu ilumbuye, wandije nanali? Jamani pole sana na hivi kamwili kako kamelegea legea sasa sijui unavyoumwa shem wangu Mentor ana kazi make unapenda kweli kudeka wewe!
Kwa nini?
Nimelegea kupita maelezo.shemeji yako sijui yuko wapi
Pole dada yangu, nakuambia siku zote ya kuwa huyo jamaa ( Mentor ) hakufai! Kwanza ho boko haram kwani amekuchukua na wala hata mahari hajalipa, ona sasa unaumwa hata kukujali jamaa hakujali!Kwa nini?
Nimelegea kupita maelezo.shemeji yako sijui yuko wapi
Hahahahaa, poleni sana, make hizo ndo zenu! Kuna jamaa wameshasema ya kuwa eti mkigegedwa vizuri napo huwa mnatulia tuli wala hamjali ya kuwa jamaa hawajalipia mahari! Basi mi niwashauri tu ya kwamba, ukimpenda jamaa, basi kajilipie mahari ili mpate baraka za wazazi!Siku hizi na sisi girls tusione tu mtu ana ka promising future, tutaanza kuacha vinguo kidogo2 kwake na ndo tutahamia kabisa. Sasa hapo utamwambia mtu "take back that girl" au utamwambia msichana "go back to ur father's house"??
Hahahahaa, poleni sana, make hizo ndo zenu! Kuna jamaa wameshasema ya kuwa eti mkigegedwa vizuri napo huwa mnatulia tuli wala hamjali ya kuwa jamaa hawajalipia mahari! Basi mi niwashauri tu ya kwamba, ukimpenda jamaa, basi kajilipie mahari ili mpate baraka za wazazi!
Ukikua utajionea mwenyewe......ebu subir kidogo hao unao wagegeda vizuri afu wanajitolea mahali wapo hapa tanzania? GOD 4BID
Bado ni wanawake na wanakaa na wanaume! Those boys/men have to pay Dowries! Ndo maana kwa sababu hao wanawake wamewapenda hao, na kama hao jamaa hawana cha kutoa, basi those women should help those guys kutoa mahari!Vipi girls au mamas wanaokaa na boys kinyumba?
Bado ni wanawake na wanakaa na wanaume! Those boys/men have to pay Dowries! Ndo maana kwa sababu hao wanawake wamewapenda hao, na kama hao jamaa hawana cha kutoa, basi those women should help those guys kutoa mahari!
Habari za jioni waungwana!
Nadhani mmeanza vizuri mapumziko ya mwisho wa wiki. Jamani, mimi sitakuwa na mengi ila picha ifuatayo inasema yote! Hii kitu ni ya MMU na siyo JF photos ndo maana nimeileta hapa!
Hili ni wazo la wikiendi hii, lifanyie kazi!
View attachment 181357
CC. ng'wana ong'wa kulwa charming lady Mtambuzi King'asti benteke miss neddy Lala 1 The Boss Nyani Ngabu
Hahahahaaaa, mkuu kawalipie wote/waombe wajilipie wenyewe ilikwi.kwi.kwi... muuza ubuyu bana. ..dah yaani walahi hawa nilionao wanavyoomba ndowa, wako radhi hata wao ndio wanipe hiyo maari nikalipe kwao. hahahhaa...unafanya mzecho na ndowa nini wewe. hahahaha, dah, umepiga ikulu mkuu