Habari zenu ndug, jamaa na marafiki. Baada ya salam ngoja nielekee ktk skendo lililomtokea home boy wetu last night. Kwanz kwa kuweka kumbukumbu sawa, huyu home boy ana two years hapa ukubwani hajawahi kumgusa mwanamk achilia mbali kutafuna kbs.
Tukimuuliza adai kwamb yey ameacha familia ya mke na watoto nyumbani kwahiy hakuja hapa kwa lengo la kupekenyua K amekuja hapa kwa lengo la kutengeneza mfumo wake wa maisha, tukasema haya bwana kijana sisi tupo tunaendelea kupekenyua K na bado tuna take care of our family. Msela baada ya kichupa kujaa mtindi huku kila siku akichafua shuka na godoro usk. Jana akaona bora apitie take away(demu) sehem ili akamsaidie kusafisha bunduki lililojaa kila aina ya kutu kutokan na kukaa muda mrefu bila kutumika ipasavyo.
Jamaa alipotoka ktk mizunguko yake akakumbana na take away inasemekana take away yenyew ni mghana, jamaa akaelewana nae malipo ya muda atakao spend nae baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake. Baada ya dakika kadhaa wakawa mjengon kwa home boy, wakiwa kitandani kila mmoja akijaribu kumvutia mwenzake kihisia demu akawa anamsogezea msela chuchu anyonye, na kwa vile msela kitambo hajanyonya basi akawa anazifagamia kwa pupa mithili ya mtu mweny kiu kizito aliekumbana na mfereji wa maji jangwani.
Baada ya dakika kadhaa msela hakujua kilichofuatia kwan aliposhtuka alikuta amelala peke yake na alipoangalia upande wa kabati lake la nguo akakuta lipo wazi, kugeuza shingo upande wa pili wa kitanda akakuta mabegi aliyoyaweka yamefunguliwa funguliwa. Jamaa akakurupuka break ya kwanz kabatini kuangalia ndani akakuta cheni yake na vitu vyake vya thamani alivyokuwa anapenda kuvaa na vile ambavyo hajawahi kuvivaa vimeibiwa, alipoangalia upande wa begi akakuta vitu vyote vya thaman alivyokuwa kanunua na kuandaa kumtumia mkewe vimeibwa ikiwemo cheni, saa na mikufu mingine mbali mbali, alipoangalia ndani ya droo sim na pochi lake vyote vimeliwa, afu hajui alitoka vipi pale ndan.
Dah ndo jamaa kwa kiwewe akatupigia sim kutujulisha kilichomtokea last night na sasa eti anapanga kumpigia sim babu yake afanye yake ili take away arudishe kila alichoiba. Wenye akili tumemwambia aachane na babu kwa vile hawezi kumsaidia kitu ukizingatia uchawi hauvuki bahari achilia mbali boda za umbali huku tuliopo. So tumemshaur ajifunze kutokan na makosa. Asirudia tena kuokota take away njiani, bora atafute mmoja wa kuzugia ila awe wa permanent mpk pale atapojisikia kurudi nyumbani au kumleta mkewe ukubwani.
Hili ni funzo hata kwa vijana wengin hapa JF. Msipende kuokota okota hovyo take away barabaran kuna siku mtaokota vinyamkela vianze kuwasumbua.

....