Habari wakuu, kuna mambo mengi sana ambayo nimegundua kuwa si kweli, bali ni uwongo na wanadamu huamini ni ukweli.
1. Jua limesimama wakati linazunguka.
2. Ndege kutumia mafuta: Ndege hutumia 90% compressed air na 10% kerosene ili kufanya safari zake.
3. Mafuta hupatikana kwa mizoga: Mafuta huwa chini ya mkondo wa bahari ni mengi na hayawezi kuisha na hayatokani na fossils.
4. Biblia ni genuine: Aliyetafsiri biblia ya 1611 ya kjv ya kwanza ni Freemason na alibadilisha maandiko mengi na kufuta baadhi ya vitabu.
5. Kuna gravity: Gravity haipo ni density na bouyancy.
6. Walifika mwezini: Hawakufika ilikuwa ni cinema, na hata juzi ulisikia nasa wanataka kwenda na hakwenda kwa kusema chombo kina dosari za kurekebisha, wanawapanga.
7. Haiwezakani gari kutumia upepo: Gari za kwanza zilitumia upepo na zilitembea 60 miles per hour, wameficha hiyo technology ila ipo(mechanical engineering).
8. Kuna satellites: Sakuna satellites zinazoelea bali kuna kuna ballon survillience, drones na long range towers.
9. Serikali ni ya taifa: Serikali ni kampuni.
10. Cheti cha kuzaliwa ni kusajiliwa kama taxpayer.
11. Afrika ndiyo bara kubwa.
12. Simu ni tracker yako.
Ongezeni.