Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
[/QUOTE![]()
We unatumia make up kit?!!!!!lol
[/QUOTE![]()
We unatumia make up kit?!!!!!lol
Post zingine bana
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hii simu?
Ndiyo hyo inaweza kwa categorized kama cmu coz ni mobile device
wewe kwa akili yako umeona sio simu bali ni 'mobile device' :confused2::confused2:,, kwa taarifa yako ina matumizi ya simu ya kawaida ya kupiga na kupokea na mengine mengi..Mleta mada kauliza simu lakini, hakuliza mobile device.
Kama ungetaka kupanua thread ungesema "nyingine hii hapa si simu, ni mobile device".
Ulivyoweka kinyemela kama simu wengine tukafikiri kuna simu mpya zimetoka za size hiyo.
kama ninayo nisiseme sasa?? hizo ndiyo specification zake halisi ndiyo maana nimecopy na kuPaste kutoka google kuokoa muda,,Umecopy na kupaste google, asa nan wamdanganya kama si kujitia mkosi tu? Ridhka na ulichonacho, MIE NINA NOKIA 2730 NA NOKIA 1100 PAMOJA NA FAKE SAMSUNG GALAXY (chinese pure) ya kuuzia sura campus. Sion haja ya kujiupgrade kwa attachments za google! JIAMIN
wakuu tutumie uzi huu tuelezane juu ya cm tunazotumia pamoja na uwezo wake.
1Me natumia nokia e51 na naipenda hii cm coz inapga mzgo poa sana na ni ngumu.
2.Pia nna pocket galaxy, na kenyewe nakafaidi hasa pale nnapoitumia kama modem yangu.
Haya kazi kwenu wadau.
Post zingine bana
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
[/QUOTE![]()
We unatumia make up kit?!!!!!lol
Hili jiwe ni siemens xelibri 6 specifications zake zinachekekesha sana labda uziGoogle mwenyewe na pia silimiliki ila kulingan na thread yenyewe basi nilitaka .jokes