Taja Jina Lake na Madhila Yaliyompata

Hayati John F. Kennedy, Rais wa 35 wa USA aliyeuawa kwa kupigwa risasi miaka miwili tu baada ya kuapishwa kwake kuwa rais.
 
J. F. Kennedy Aliuawa kwa risasi alikuwa Rais mpenda mabadiliko na rafiki wa JKNyerere.
 
Huyu hajapata kuwa na kashfa ya uzinzi Iselamagazi. Labda unamchanganya na Bill Clinton.

Ile tuhuma ya ngono ya Bill clinton na monica lewinsky ni cha mtoto kwa ufuska na uzinzi alioufanya J.F Kennedy kwenye ikulu ya marekani hausimuliki mzee. Tafuta stori yake utaona maajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…