Taja jina la dawa

Dawa zipo nyingi inategemea na ugonjwa kama ni fungus au bacteria infections,kuwa ongeza maelezo.
 
pole, ila kwani wewe unasumbuliwa na nini hasa mpaka uulize dawa ya ugonjwa wa ngozi wa aina yoyote. Nenda kwa hospital mkuu
 
Funguka Mkuu, ni ugojwa wa namna gani? Uko sehemu gani ya mwili, sio kila dawa ya ngozi inatibu maradhi. Weka wazi tukusaidie. Weka na dalili zake.
 
kwenye miguu inakua kama inatengeneza weusi fulani dats all
 
Back
Top Bottom