Unapaswa kuwa na roho ya kikaidi sana ili uangalie bongo movie...
Siku niliangalia kwa bahati mbaya nikashuhudia jini likikodi bodaboda ili kumfukuza mtu. Nashukuru Mungu screen haikuvunjika, ila cha moto ilikiona
FactMoses - Kanumba.
Siichoki kuiangaliaga hii movie
hakuna filamu hapo.Nimeangalia filamu nyingi za kibongo, bahati mbaya nyingi sijaziweka kichwani.
Ziko ambazo nimeona Mzimu unapisha magari, ziko ambazo Jambazi anavua viatu
na kuvamia ndaniZipo tu za kustaajabisha sana,
Lakini kwangu hizi mbili, FUNGU LA KUKOSA na BINTI NUSA Ni miongoni mwa Filamu
ambazo nimevutiwa nazo sana. RIYAMA ALLY Ndani ya FUNGU LA KUKOSA mpaka
leo ananifanya nimuone kuwa Muigizaji Bora wa kike wa wakati wote kwani licha ya
kubadilika umbo na umri bado ameweza kuzitendea haki nafasi anazoshika.
Hata mimi.Moses - Kanumba.
Siichoki kuiangaliaga hii movie
Nakwenda kwa mwanangu,- JB na King majuto (R.I.P)
Devil kingdom- steven kanumba(R.I.P)
Ndoa yangu- steven kanumba (R.I.P)
Angalizo; sijawahi kutazama filamu za bongo toka kanumba afariki dunia,ni hiyo moja tu ya " nakwenda kwa mwanangu".