Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
... halafu katika stock ya silaha ya US, HIMARS ni very inferior! Akitoa zile zenyewe achana na nukes masupa pawa wa michongo watatafutana. Wale wanaofanyaga magwaride ya silaha mitaani kila mwaka.Hili dude linaitwa kuzimu ,limeua sana huko Ukraine, Putin hatak hata kulisikia ,wanajeshi wa Russia wakilisikia miguu yote inatepeta,S400,S300 zote zimegonga mwamba kulizuia ili limzimu
Umeua kabisa mkuu... halafu katika stock ya silaha ya US, HIMARS ni very inferior! Akitoa zile zenyewe achana na nukes masupa pawa wa michongo watatafutana. Wale wanaofanyaga magwaride ya silaha mitaani kila mwaka.
Hii kitu ya zamani sana imefanya kazi Gulf war ila leo ndo champion against super pawa... halafu katika stock ya silaha ya US, HIMARS ni very inferior! Akitoa zile zenyewe achana na nukes masupa pawa wa michongo watatafutana. Wale wanaofanyaga magwaride ya silaha mitaani kila mwaka.
Makumpuni ya silaha huko US yanapiga nyingi mno na kuzalisha mamilioni ya ajiraHaaaah marekani kapiga pesa tayari hapo....respect...🤓🤓
... technology ziko za maeneo mengi mzee; from ICT to medical; from weapons to astronomy; from artificial intelligence to marine; etc. Taiwan haijawekeza sana kwenye weapons compared to US, China, and Russia; ila ni kati ya jamii zenye watu wenye akili nyingi sana duniani mixture of Japanese, Koreans, Chinese, Filipinos, et.al. inatoa brains fulani za hatari.Hawa jamaa Taiwan tunaaminishwa ndio wabobezi wa technology.. Na USA anawang'ang'ania Kwaajili hiyo.
Sasa inakuaje wanashindwa kujiendesha wao wenyewe? Inakuaje tena wananunua hayo makombora kutoka USA!
Hayo makombora si chochote si lolote kama urusi ikitum8a makombora ya kusambaratisha sateliteTaiwan imetenga fedha kwenye bajeti yake ya Ulinzi mwaka huu kununua Makombora ya HIMARS (29 launchers pamoja na maroketi 864) pia Makombora yake mazito ya ATACMS yenye uwezo kupiga adui umbali wa Hadi 300km.
Haya yanajiri baada ya Taiwan kuongeza bajeti yake ya jeshi kwa asilimia 14 kutokana na vitisho vya China.
Taiwan ilipanga kununua mizinga ya M109A6 "Paladin" lakini kutokana na mafanikio ya HIMARS dhidi ya vikosi vya Urusi imesitisha dili hilo ambalo lilishaidhinishwa na utawala wa Biden na sasa itanunua Makombora ya HIMARS.
Poland pia imeweka oda ya kununua Makombora 500 ya Himars. Estonia,Lithuania pia zimeweka oda ili kupata mizinga hiyo.
Taiwan eyes HIMARS rockets for defense against China
Russia aijatumia silaha zakw kubwa kama za kuripua satelite ambazo ndoyo moyo wa silaha za USAkama hizo HIMARS... halafu katika stock ya silaha ya US, HIMARS ni very inferior! Akitoa zile zenyewe achana na nukes masupa pawa wa michongo watatafutana. Wale wanaofanyaga magwaride ya silaha mitaani kila mwaka.
Unajua kuwa moyo wa HIMARS NI SATELITE? SASA MRUSI AJATAKA TU KUKUZA VITA DAWA NI KUPIGA HIZO SATELITE TU NDIYO MAANA USA ANAMYOGOPA MRUSIHii kitu ya zamani sana imefanya kazi Gulf war ila leo ndo champion against super pawa
Kwahiyo wewe unadhani urusi hana huo uwezo [emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama urusi angekuwa na uwezo wa kufanya hivyo Wala hasingechelewa kuzilipua hizo satellite
Hiyo midude inaua asikari wake kama kumbikumbi,na kuteketeza maghala kibao., Halafu urusi aone kabisa kuwa Kuna uwezekano wa kufanya jambo juu kudhibiti madude haya asubiri?
Nitakuwa wa mwisho kuamini hizi hekaya