mumak JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 1,069 Reaction score 670 Oct 31, 2018 #1 Wanandugu salam kwenu,nataka niende tanga nikatafute mke lakini bado sijajua ni tanga ipi inawanawake wazuri,kianzia sura,tabia,na maumbo na sifa zingine zote zinazostahili kua nazo?
Wanandugu salam kwenu,nataka niende tanga nikatafute mke lakini bado sijajua ni tanga ipi inawanawake wazuri,kianzia sura,tabia,na maumbo na sifa zingine zote zinazostahili kua nazo?
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,857 Reaction score 82,447 Oct 31, 2018 #2 Tanganyika ndio wapo wazuri.
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,741 Reaction score 25,681 Oct 31, 2018 #3 Nenda Tanga vijijini huko
kijana wa leo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2011 Posts 3,150 Reaction score 7,791 Oct 31, 2018 #4 Nenda Bumbuli au Lushoto huko, vibinti vya Tanga mjini vina mambo ya ki Amber Rutty sana.
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,415 Reaction score 9,302 Oct 31, 2018 #5 Naona unataka kutafuta mke kama vile watu wanavyoenda kutafuta Tangawizi kipindi cha mavuno. kila la kheri katika hitaji lako.
Naona unataka kutafuta mke kama vile watu wanavyoenda kutafuta Tangawizi kipindi cha mavuno. kila la kheri katika hitaji lako.
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,301 Reaction score 40,930 Oct 31, 2018 #6 Mmmh hii style yako ni unique mkuu,besiti wishezi