Habari wakuu.
Nina tatizwa na uchaguzi wa tairi katika gari langu.. Kwanza nina rim size mbili.. 16 na 17. Nataka kununua tairi mpya na ndipo mchanganyo unapokuja.. Ipi tairi itanipa confortability nzuri kwenye barabara smooth na rough kati ya 215/60R16 au 215/55R17?
Eti ni kweli tairi nyembamba mfano 225/50R17 inaafadhali katika usalama kuliko pana?Asanteni sana
215/60r17 itakupa comfortability na 225/50r17 italipa gari lako muonekano mzuri tu,comfortability itapungua sana. Na inabidi uwe makini kwenye njia mbovu maanake kupinda rim au kuchana tairi kwenye matuta mashimo ni kitu cha klawaida.
Asante mkuu.. R ni 16 kwa hiyo rim moja. Kwahiyo kwa utamu wa kuendesha niinunulie 215/60R16? Au naweza nunua 215/60R17 na ikakaa pasipo kugusa?
r17 ni low profile utapata 55 au 45 au 50 huwezi kupata 60 itagusa body. kama unataka comfort nunua 215/60r16 kama unataka urembo na unakaa mjini lami tupu nunua 225/55r17
215/60r17 itakupa comfortability na 225/50r17 italipa gari lako muonekano mzuri tu,comfortability itapungua sana. Na inabidi uwe makini kwenye njia mbovu maanake kupinda rim au kuchana tairi kwenye matuta mashimo ni kitu cha klawaida.
Nenda superdoll wakupe tairi ila ndo ujipange. Almost 500000 per tyre, au unataka mchina?
Heshima sana mkuu........
Ki ufupi aweke tairi size iliyopendekezwa na watengenezaji wa gari.......wana maana yao......
Kubadilisha na kuweka madoido ni sawa lakini maisha ya gari yatakuwa hatarini.........
Nenda superdoll wakupe tairi ila ndo ujipange. Almost 500000 per tyre, au unataka mchina?
Superdoll wana punguzo kwenye tairi za BF........awahi kabla offer haijaisha........buy 3 get one free.......
Bei inazungukia maeneo ya 1.7m..........
Asante mkuu. Recommended tires zake ni 215/60R16, 215/55R17 na 235/45R18. Ila mimi ninazo rim za R16 na R17.
Ila yale makashata makubwa hayavumi barabarani ndugu?
Yapo ya all terrain na yapo ya mud........weka all terrain........yapo poa..........
Weka hizo zilizo kuwa recommended.........kama unaipenda gari yako.........
Dah, nimewacheki bfgoodrich ni 512,000 each..
Asante mkuu. Recommended tires zake ni 215/60R16, 215/55R17 na 235/45R18. Ila mimi ninazo rim za R16 na R17.
Habari wakuu.
Nina tatizwa na uchaguzi wa tairi katika gari langu.. Kwanza nina rim size mbili.. 16 na 17. Nataka kununua tairi mpya na ndipo mchanganyo unapokuja.. Ipi tairi itanipa confortability nzuri kwenye barabara smooth na rough kati ya 215/60R16 au 215/55R17?
Eti ni kweli tairi nyembamba mfano 225/50R17 inaafadhali katika usalama kuliko pana?Asanteni sana
Tafadhali jibu maswali haya.
Ni ya msingi sana wakati unachagua aina na size ya tairi.
1. Gari yako ni aina gani na mwaka gani?
2. Barabara unazotumia mara kwa mara ni za aina gani?
3. Je unasafiri safari ndefu na hilo gari mara kwa mara?
4. Ni matumizi ya aina gani unayotumia kwa hilo gari lako?
5. Je huwa unalijaza mzigo mkubwa (full capacity) mara kwa mara?
6. Je watumia gari lako kuvuta trela mara kwa mara?