Taifa Stars hata ingefungwa goli 10-0 nisingesikitika. Kwenye mpira wa miguu mimi si Mtanzania niliisha jitoa. Poleni sana na ndiyo bado ....
tena sio kiwango kibovu sema kichafu
Jana wakati nakatiza uswazi mida ya saa tatu na nusu nikasikia masela yanabishana!! Tambwe na Okwi wakengekuwemo tungeshinda!!!!!!!!!!!!!!!!