Hakuna haja ya kupoteza muda Taifa Stars warudi tupeleke jeshi la wananchi kule maana bila hivyo hatuta ambulia kitu.
Rais alisema itafika wakati atatumia jeshi tu ili wachezaji wa timu ya taifa wawe wanalelewa jeshini na kuishi jeshini na kazi yao iwe kucheza mpira tu.
Wakati umefika sasa tupeleke jeshi