Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Game ya England ni saa 5 usiku kwa saa za BongoDah game ya leo haina hata msisimko mi nilisha sahau.
Game ya England inaanza saa ngapi wakuu?
Game ya England ni saa 5 usiku kwa saa za Bongo
Fidel,Dah game ya leo haina hata msisimko mi nilisha sahau.
Game ya England inaanza saa ngapi wakuu?
Fidel,
Uzalendo kwanza mkuu.
Taifa stars ni yetu bwana Fidel.
any update on the scores?
asante kwa kutujuzacranes 1 stars 0
Uganda 1 Taifa Star 0Half time sasa matokeoa uganda 1 siye 0
Naona tutazidi kuporompka sasa kwenye FIFA ranking....Maximo anataka atuache alpotukuta nini?
Kama ni kweli basi kazi tunayo!cranes 1 stars 0
shemeji nadhani ndo hivo..sasa amekula bingo yetu , hakuna programu ya vijana wala nini
unadhani tutapata wachezaji wa maana from simba na yanga? ngumu!
Uganda 1 Taifa Star 0
Bora aondoke shemeji...Ila ningependa Kocha ajaye atoke Ufaransa aisee..Makocha wa Kifaransa wanaweza khumili mikikimikiki ya soka la Afrika,pia hujitahidi kuwatafutia Timu Ufaransa(hata za madaraja ya chini) wachezaji wanaowafundisha katika timu za Taifa...Hili limefanyika sana katika nchi za Afrika Magharibi na Kati pamoja na Kaskazini mwa Afrika(angalia Algeria,Morocco na Tunisia wachezaji wao karibu wote wanakipiga Ufaransa)