Rais
Jamal Malinzi sijui hii idea ya KUOKOTA wachezaji mitaani then kuwaleta eti ndiyo wawe wachezaji wa team ya Taifa sijui kaipata wapi maana haipo duniani hiyo sera!
Kama issue ni wachezaji wenye umri mdogo wapo wengi tu tulio waona tayari league kuu,kuna yule kijana wa Azam Fahad na mwenzake Kimwaga hao wale hawafikiriwi kuitwa japokuwa wanasumbua sana league kuu na umri wao mdogo!
Unatuletea hao wa Tukuyu sijui ndiyo wafanye nn sasa!Wakili Mtingojela na kamati yake kumbe hawakukosea kukata jina la huyu jamaa!Alikuwa HANA sera za kuwa ataifanyia nn TZ kwenye soka,SERA anaanza kuzitunga akiwa yupo madarakani!Miaka mingine 4 ya maumivu soka ya TZ