Dam55 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,661 Reaction score 12,014 Jun 13, 2019 #21 Dakika ya 21 bado bila bila
F Fofader JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 864 Reaction score 301 Jun 13, 2019 #22 Azam app ovyo sana. Nadhani watu wakiwa wengi inajam. playboy babu said: Na kwangu app inazingua loading weeeeeeeeee had kichwa kinauma Click to expand...
Azam app ovyo sana. Nadhani watu wakiwa wengi inajam. playboy babu said: Na kwangu app inazingua loading weeeeeeeeee had kichwa kinauma Click to expand...
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,355 Jun 13, 2019 #23 Boniphace Bembele Ng'wita said: Kwangu haifungui, kabisa inaandika tu stop, inakata Click to expand... Nina zaidi ya 4 months tangu nimeifuta kwangu
Boniphace Bembele Ng'wita said: Kwangu haifungui, kabisa inaandika tu stop, inakata Click to expand... Nina zaidi ya 4 months tangu nimeifuta kwangu
Boniphace Bembele Ng'wita JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 3,533 Reaction score 1,936 Jun 13, 2019 #24 Wakat wanapohitajika wanakuwa c msaada sasa wa nn kuwa nao? Sina uhakika wanafanya makusud, au ni teknical proplem, ila kiukwel wamevuluga sana ratiba, Hakuna mwenye link hum wadao?
Wakat wanapohitajika wanakuwa c msaada sasa wa nn kuwa nao? Sina uhakika wanafanya makusud, au ni teknical proplem, ila kiukwel wamevuluga sana ratiba, Hakuna mwenye link hum wadao?
tbl Senior Member Joined Mar 29, 2011 Posts 116 Reaction score 41 Jun 13, 2019 #25 SUPER EMILY said: Link please Click to expand...
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,520 Reaction score 7,292 Jun 13, 2019 #26 Azam App not responding... Hii app imeshaanza kuzingua hata kabla mashindano ya Afcon hayajaanza...pambav kabisa
Azam App not responding... Hii app imeshaanza kuzingua hata kabla mashindano ya Afcon hayajaanza...pambav kabisa
SPINE JF-Expert Member Joined Dec 11, 2017 Posts 1,070 Reaction score 1,153 Jun 13, 2019 #27 pass accuracy ya watanzania bado iko chini sana
SPINE JF-Expert Member Joined Dec 11, 2017 Posts 1,070 Reaction score 1,153 Jun 13, 2019 #28 jamaa wanacheza wao tu, sisi tunangoja counter attack
SPINE JF-Expert Member Joined Dec 11, 2017 Posts 1,070 Reaction score 1,153 Jun 13, 2019 #29 dk 34 bila bila
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,793 Jun 13, 2019 #30 Boniphace Bembele Ng'wita said: Kwa nature ya kaz yangu wananifaa ila leo wamenikera sana, nmefuta app yao kabisa Click to expand... playboy babu said: Na kwangu app inazingua loading weeeeeeeeee had kichwa kinauma Click to expand... Hao kwishneyyy...Habari yao ilishakwisha! Sasahv vimebaki vipindi vya mapishi na Tarawee
Boniphace Bembele Ng'wita said: Kwa nature ya kaz yangu wananifaa ila leo wamenikera sana, nmefuta app yao kabisa Click to expand... playboy babu said: Na kwangu app inazingua loading weeeeeeeeee had kichwa kinauma Click to expand... Hao kwishneyyy...Habari yao ilishakwisha! Sasahv vimebaki vipindi vya mapishi na Tarawee
H huko kwenu vipi JF-Expert Member Joined Jun 4, 2015 Posts 1,540 Reaction score 1,475 Jun 13, 2019 #31 SPINE said: jamaa wanacheza wao tu, sisi tunangoja counter attack Click to expand... Yaan wachezaji wetu wanakaribia kutapika mioyo maana si kwa pasi hizi hahahahahahahahah yaaaaan wanacheza wao tu
SPINE said: jamaa wanacheza wao tu, sisi tunangoja counter attack Click to expand... Yaan wachezaji wetu wanakaribia kutapika mioyo maana si kwa pasi hizi hahahahahahahahah yaaaaan wanacheza wao tu
M MaxMase JF-Expert Member Joined Mar 4, 2008 Posts 872 Reaction score 827 Jun 13, 2019 #32 Kabelwa said: wadau hii game inaonyeshwa channel gani! Click to expand... Azam sport HD wako live. Na afcon wanaonyesha UTV iko Azam TV pia
Kabelwa said: wadau hii game inaonyeshwa channel gani! Click to expand... Azam sport HD wako live. Na afcon wanaonyesha UTV iko Azam TV pia
Tychob JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 4,130 Reaction score 5,397 Jun 13, 2019 #33 Naona sisi tumepaki basi ,hata pasi tatu hazifiki tunazo cheza
SPINE JF-Expert Member Joined Dec 11, 2017 Posts 1,070 Reaction score 1,153 Jun 13, 2019 #34 huko kwenu vipi said: Yaan wachezaji wetu wanakaribia kutapika mioyo maana si kwa pasi hizi hahahahahahahahah yaaaaan wanacheza wao tu Click to expand... Hii defensive style ina faida na hasara zake, inabidi muwe na mapafu kweli kweli....jamaa wanakuja tu 😂 😂 🤣
huko kwenu vipi said: Yaan wachezaji wetu wanakaribia kutapika mioyo maana si kwa pasi hizi hahahahahahahahah yaaaaan wanacheza wao tu Click to expand... Hii defensive style ina faida na hasara zake, inabidi muwe na mapafu kweli kweli....jamaa wanakuja tu 😂 😂 🤣
F Fofader JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 864 Reaction score 301 Jun 13, 2019 #35 Asante mkuu kwa link tbl said: Click to expand...
Dam55 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,661 Reaction score 12,014 Jun 13, 2019 #36 Hawa stars kama mpira wanacheza ndio huu basi kuna tatizo sehemu
Tz boy 4tino JF-Expert Member Joined Sep 14, 2014 Posts 1,598 Reaction score 1,828 Jun 13, 2019 #37 Timu haina risk takers alafu wamemtema dogo Mbappe. Huko Afcon tutakula goli za kutosha.
Tychob JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 4,130 Reaction score 5,397 Jun 13, 2019 #38 Hamna kitu hapa , tusitegemee chochote
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,508 Reaction score 18,668 Jun 13, 2019 #39 Ngapi huko.?????
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Jun 13, 2019 #40 mjr95 said: Ngapi huko.????? Click to expand... Jiandae kisaikolojia