Taifa Stars in Afcon 2017

Mr.Wenger

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
2,569
6,162
5c4788dcf94f0d624023773227593308.jpg
 
Wanachambua kama karanga huku wakikodoa kodooo...

Wajanja tumeacha maneno tunaweka muziki...
 
Kwa ule mpira wa Afcon, Taifa Stars wakacheze na Banyanabanyana. Kule si level za hatari.
 
  • Thanks
Reactions: ydn
....tz imebaki wasindikizaji kwenye hii michuano hadi sasa wameamua kutuma wakata viuno ili kutafta attention....yaani hata aibu hatuna!!....wamekosa wacheza mpira wamebaki na wakata viuno....so sad...
 
Kwa huu mpira ninaohushudia wa Afcon endapo Taifa Stars wangeingia kwenye hii michuano.. Wangeaga huu mpambano mapema sana.. Huku tumebaki na usimba na uyanga..
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Back
Top Bottom