Taifa Stars Hoooiiii!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,648
4,203
Taifa Stars Hooiii!!

Timu ya Taifa, Taifa Stars, jana Jumamosi ilianza vibaya michuano ya awali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za nyumbani baada ya kufungwa na Kenya bao 1-0 katika mchezo wa kwanza kwenye Uwanja wa Nyayo mjini Nairobi, Kenya.

Stars waliokuwa wakicheza bila kuonana hasa katika nafasi ya ulinzi, walishambuliwa mara kadhaa...ZAIDI
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom