figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,913
- 63,606
Stars wanapata goli la tatu kupitia Tomas Ulimwengu.STARS 3-0 MOROCCO
Wakuu vipi hapo?Mbwana Samatha anaipatia T.stars goli la tatu. STARS 3-0 MOROCCO
Pumbavu sana tbccm.
Wachina muhimu Mkuu!
Wachina ndio walio-finance ujenzi wa hiyo TBC tungewaambia nini kama TBC isingeonesha ujio wa Rais wao? Tunahitaji uhuru wa kweli, tujitegemee tufanye mambo yetu wenyewe. Tusikwepe kodi, tutoe kwa uaminifu ili tuachane na huu ujinga wa kuombaomba kila kukicha.