Kyakashombo Senior Member Joined Oct 13, 2018 Posts 164 Reaction score 235 Oct 15, 2018 #1 Kesho nina matumaini makubwa sana na timu yangu ya Taifa, kocha panga watu wazuri wa kutupa ushindi usiangalie eti kwa kuwa anacheza nje ya nchi basi yuko vizuri!
Kesho nina matumaini makubwa sana na timu yangu ya Taifa, kocha panga watu wazuri wa kutupa ushindi usiangalie eti kwa kuwa anacheza nje ya nchi basi yuko vizuri!
Baba Mtakatifu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2017 Posts 1,332 Reaction score 2,467 Oct 15, 2018 #2 Amna timu pale, kile ni kikundi cha wahuni tu kimejikusanya, we mchezaji hata kutoa pasi hawezi, kutuliza mpira hawezi, kuna timu hapo
Amna timu pale, kile ni kikundi cha wahuni tu kimejikusanya, we mchezaji hata kutoa pasi hawezi, kutuliza mpira hawezi, kuna timu hapo
Kyakashombo Senior Member Joined Oct 13, 2018 Posts 164 Reaction score 235 Oct 15, 2018 Thread starter #3 Ngoja tuone hiyo kesho
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,368 Oct 15, 2018 #4 Tukijitahidi saaaana tutapata drooo (tukimtumia gwiji la benchi la ufundi la yanga)