Taifa star kama CCM!!

Taifa star kama CCM!!

meddie

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
434
Reaction score
125
inapigwa magori tu......si makini kabisa!!!
 
Hakuna chama chenye hata asilimia 30 ya wabunge. CCM ina zaidi ya asilimia 67 ya wabunge.

Rais wa Jamhuri anatokana na CCM.

Sasa hapo sijui kupigwa magoli maana yake ni nini na anayepigwa hayo magoli ni nani!!!
 
CCM na Taifa stars ni ndugu wamoja kwa hiyo madudu yote yanayofanywa na mmoja lazima na mwingine nae aige
 
Hakuna chama chenye hata asilimia 30 ya wabunge. CCM ina zaidi ya asilimia 67 ya wabunge.

Rais wa Jamhuri anatokana na CCM.

Sasa hapo sijui kupigwa magoli maana yake ni nini na anayepigwa hayo magoli ni nani!!!
Sasa hapo umejibu au umeuliza? We vipi
madudu mnayoyafanya ccm na litimu lenu ni kama utumbo
na mavi.
 
Tatizo ni Mfumo wa Michezo hapa Tz bado mfumo Wetu wa soka upo Analogy sana Mh Rais anapenda Michezo lakini waliopewa jukumu kuisimamia Michezo hawapo Digtal si wabunifu Michezo Inabidi kwenda kizani Hakuna jitihada za makusudi kuokoa jahazi Tunakuomba mh Rais Umlete Mwakembe kwenye Wizara ya Michezo angalau atazindua wote kisha kuyabaini yaliyojificha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom